Ngombe wote jumla waite Y. Sasa 0.2 ya Y wanaumwa ila wapo. Jumlisha na 180 wasioumwa jumla yao ni Y. Tafuta thamani ya Y hapo:jaman kunaswal la hesabu hapa limenishnda naomben msaada" ( 1/4robo ya ng'ombe wa mzee yagayaga wamekufa,,1/5 ya ng'ombe waliobak n wagonjwa,,..ng'ombe 180 n wazima!!! je! mzee anang'ombe wangap???
0.2Y + 180 = Y
0.2Y - Y = 0 - 180
-0.8Y = -180
0.8Y/0.8 = 180/0.8 = 90/0.4 = 45/0.2 =22.5/0.1
= (22.5x10)/(0.1×10) = 225/1 = 225 cows
Achana na ile 1/4 ya Ngombe kwani hao mzee yagayaga hana walishakufa.
Mzee yagayaga Ana jumla ya Ngombe 225 wanaoishi. Kati ya hao wasioumwa ni 180 na wanaumwa ni 225 - 180 = 45
Acha uvivu.