Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

Structure design.

A timber beam with an effective span 2.0m supports a uniformly distributed load of 4KN/m. If the width of beam is 50mm and the allowable bearing stress parallel to grain is 7N/mm square. What is the depth of the beam .
 
jaman kunaswal la hesabu hapa limenishnda naomben msaada" ( 1/4robo ya ng'ombe wa mzee yagayaga wamekufa,,1/5 ya ng'ombe waliobak n wagonjwa,,..ng'ombe 180 n wazima!!! je! mzee anang'ombe wangap???

300
 
what is gravitational force

A very long-range, but relatively weak fundamental force of attraction that acts between all particles that have mass; believed to be mediated by gravitons.
 
anaeweza anisaidie utofauti kati ya phrasal verbs and preposional verbs...asante

PHRASAL VERB consists of a verb and either or both of a preposition or adverb, that has idiomatic meaning

PREPOSITIONAL VERB is an idiomatic expression that combines a verb and a preposition to make a new verb with a distinct meaning.
 
Wakuu katika kupitia nyuzi mbalimbali humu nimegundua hili jukwaa lina wanafunzi wengi sana hasa kidato cha 5 au chini ya hapo pia wanavyuo

Hivyo basi ni vyema walimu na watu wenye uzoefu tuwasaidie hawa watu ili wafanye vyema ktk masomo yao kwa wenye nia njema, jukwaa hili ni muhimu na tukilitumia tukainua ufaulu wa ndugu zetu tutaongeza Tanzania njema yenye wasomi bora.

karibuni, mimi tupia swali la linguistics/language 1&2 (kwa A-level) au english kwa O - level na Geography.

Walimu wazuri na Wataalam wengine watajitajitokeza ukirusha swali lolote.
Swali langu n kwamba nipo mwaka wa Kwanzaa Kampala international university. Nasoma Bba in accounting

Lakini nimegundua nilifanya wrong choice
Kwani walimu hawana uwezo na vitu wanavyofundisha hata wao hawazijui kwa mfano
Kuna ticha anafundisha Accounting yy anawafundisha wanafunz kuwa balance sheet ina Debit na Credit kitu ambacho hakipo
Nisaidien nataka kuhama chuo nifanyaje??????
Wakuu katika kupitia nyuzi mbalimbali humu nimegundua hili jukwaa lina wanafunzi wengi sana hasa kidato cha 5 au chini ya hapo pia wanavyuo

Hivyo basi ni vyema walimu na watu wenye uzoefu tuwasaidie hawa watu ili wafanye vyema ktk masomo yao kwa wenye nia njema, jukwaa hili ni muhimu na tukilitumia tukainua ufaulu wa ndugu zetu tutaongeza Tanzania njema yenye wasomi bora.

karibuni, mimi tupia swali la linguistics/language 1&2 (kwa A-level) au english kwa O - level na Geography.

Walimu wazuri na Wataalam wengine watajitajitokeza ukirusha swali lolote.
Wakuu katika kupitia nyuzi mbalimbali humu nimegundua hili jukwaa lina wanafunzi wengi sana hasa kidato cha 5 au chini ya hapo pia wanavyuo

Hivyo basi ni vyema walimu na watu wenye uzoefu tuwasaidie hawa watu ili wafanye vyema ktk masomo yao kwa wenye nia njema, jukwaa hili ni muhimu na tukilitumia tukainua ufaulu wa ndugu zetu tutaongeza Tanzania njema yenye wasomi bora.

karibuni, mimi tupia swali la linguistics/language 1&2 (kwa A-level) au english kwa O - level na Geography.

Walimu wazuri na Wataalam wengine watajitajitokeza ukirusha swali lolote.
Wakuu katika kupitia nyuzi mbalimbali humu nimegundua hili jukwaa lina wanafunzi wengi sana hasa kidato cha 5 au chini ya hapo pia wanavyuo

Hivyo basi ni vyema walimu na watu wenye uzoefu tuwasaidie hawa watu ili wafanye vyema ktk masomo yao kwa wenye nia njema, jukwaa hili ni muhimu na tukilitumia tukainua ufaulu wa ndugu zetu tutaongeza Tanzania njema yenye wasomi bora.

karibuni, mimi tupia swali la linguistics/language 1&2 (kwa A-level) au english kwa O - level na Geography.

Walimu wazuri na Wataalam wengine watajitajitokeza ukirusha swali lolote.
1454668736653.jpg
 
Naomba ushaur namna gan naweza kuhama chuo
Nilifanya Wrong choice nikaomba Kampala international university

Hapa walimu wake hawana uwezo kabisa wa kujua na kufundisha

Ticha anafundisha Balance sheet ina Debit na Credit ona hapo chin attachment

Hivyo nataka kuhama kwenda chuo kingine
Nipo first year anajiua procedures anisadie
1454668736653.jpg
 
Kwa mtaalamu wa history pitia hapa please.
1; Explain six prerequisites for state formation in pre-colonial Africa.
2; Identify six factors which determined the variation of agricultural systems during the colonial period.
 
jaman kunaswal la hesabu hapa limenishnda naomben msaada" ( 1/4robo ya ng'ombe wa mzee yagayaga wamekufa,,1/5 ya ng'ombe waliobak n wagonjwa,,..ng'ombe 180 n wazima!!! je! mzee anang'ombe wangap???

waliokufa + wagonjwa + wazima = jumla ya ng'ombe

waliokufa/jumla + wagonjwa/jumla + wazima/jumla = jumla/jumla

1/4 + 1/5 + 180/jumla = 1

180/jumla = 1 - 1/4 - 1/5

180/jumla = 20/20 - 5/20 - 4/20

180/jumla = (20 - 5 - 4)/20

180/jumla = 11/20

180*20 = 11*jumla

180*20/11 = jumla

jumla = 327.27272 (327+3/11) cows

Mzee Yagayaga alikuwa na ng'ombe 327+3/11 (327.2727)

Lakini robo (81+9/11) walikufa, kwa hiyo amebaki na ng'ombe 245+5/11 (245.4545)
 
Sasa hawa ng'ombe wenye desimali wanakuwaje labda?
 
Naomba ushaur namna gan naweza kuhama chuo
Nilifanya Wrong choice nikaomba Kampala international university

Hapa walimu wake hawana uwezo kabisa wa kujua na kufundisha

Ticha anafundisha Balance sheet ina Debit na Credit ona hapo chin attachment

Hivyo nataka kuhama kwenda chuo kingine
Nipo first year anajiua procedures anisadie
Kuhama chuo kwa sasa ni ngumu sana ndugu yangu, isitoshe ndio mnaelekea kumaliza semester
 
naomba kufaham different btn sigmund Freud theory of personality and Alfred Adler theory of personality
 
Wakuu naona kuna haja ya walimu kujipambanua ili wanafunzi/wenye maswali watupie kwa walimu husika. Mimi najipambanua kama mwalimu wa Chemistry, Biology & Geography kwa O~level. Tupia swali lolote la masomo haya upewe majawabu haraka. Usisahau kuQUOTE au kuMENTION jina la mwalimu ili mwalimu apate notification. Asante sana.
Kwanini ukichukua kopo mfano kopo la dasani tupu ukaanza kuvuta hewa (kwa mdomo) iliyomo ndani ya kopo hilo kopo hujikunja...?
 
unapovuta hewa unapunguza PRESSURE ndani ya kopo kwa hiyo PRESSURE ndani ya kopo itakuwa ndogo kuliko ATMOSPHERIC PRESSURE (nje ya kopo). na pressure = force/area. forces za nje zitakuwa kubwa kuliko forces za ndani na zitasababisha kopo ikunje.
 
na je vipi kwa mfano ukitengeneza chumba cha chuma na kuacha tundu dogo la kuwekea kivuta hewa na kuanza kuvuta hewa, je hicho chumba cha chuma kitajikunja kama lilivyo jikunja kopo...?
 
inategemea. unaweza kutengeneza chumba cha chuma imara ambacho hakitakunja. lakini kama chuma ni chembamba, kitakunja pia.
 
Back
Top Bottom