Mwanafunzi, Weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

Samahani wakuu naomba nisaidie hapa sielewi kitu nimefanya transfer toka CBE campus ya dar kuja mwanza Ila huku naambiwa usajil wangu haujakamilika Una shida naomba nisaidie hapa wakuuu
 
Back
Top Bottom