225 umepatia sasa. Mwanzoni ndo ulikosea. Anyway hesabu ni reasoning tu. Nadhani umeona nilitumia a different reasoning na jibu nikapata 225. Ukimuangalia mtu anavyoanza tu kujenga hoja juu ya atakavyokokotoa unaona tayari huyu anaenda kupata au kukosa.Kwasababu sehemu zimetumika tuseme ng'ombe wote ukijumlisha na wale waliokufa ni kitu kizima ambayo ni 1.
1/4 ya ng'ombe wote walikufa
1-1/4=3/4 (waliobaki)
1/5 ya waliobaki wanaumwa
1/5 x 3/4 = 3/20...... Lakini bado tunatakiwa tupate sehemu ya wale ng'ombe walio wazima
3/4 - 3/20 = 3/5
3/5 = ng'ombe 180
5/5= ng'ombe?
=ng'ombe 300
Sasa tupate idadi ya 1/4 waliokufa
1/4 x 300= ng'ombe 75
300 - 75 = 225
Mzee Yagayaga ana ng'ombe 225........... Kama nimekosea tena nijulishe