Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

Tafadhar nisaidien wajuzi wa mahesabu!!
Hizo huwaga ni heasbu za kihuni ambazo hazifuati kanuni za kihesabu

Wanasema hivi, 25/5, 2 haigawanyiki kwa tano, bali 5 inagawanyika kwa 5 na inaingia mara 1, so unakuwa na 1 pembeni so katika 25 utakuwa umebakiwa na 20 kwa sababu 5 imeshagawika , hivyo hiyo ishirini kwa tano inaingia mara nne, so ile moja yankwanza na hii nne ndio unapata hiyo 14

Bonge la uongo
 
Habari..kwa wakubwa shkamooni..ni hv mie mgeni humu ndyo nimeingia jana tu..ila nimependa group hli cos mm ni mwanafunzi so wakuu nikaribisheni humu..na nitakuwa nauliza maswali ila msinichoke.

Ahsanteni
 
Ordinary level English literature

Which literally books correlate each other in Themes ?
 
Kwa swal la chemistry wanione mimi.
Mkuu naomba usidharau hili swali langu:- Hivi huwa nasikia kwenye maji kuna oxygen na ndio maana huwa kunakuwa na zile bubbles...swali langu:

Kama kwenye maji kuna oxygen mbona tukizama kwenye maji tunashindwa kupumua na tunakufa?
 
ni vizur mtu aulize swali ambalo anahitaji ufafanuzi na si kuuliza tu ilimradi na wew umeuliza, ama kuuliza kitu unachokifahamu ili upime watu. msomi ni yule aliyekomboka kifikra na mtazamo. ahsanteni
Mkuu hii thread ni ya maana sana...hongera,usijali wengi tunauliza tusivyovielewa kweli na sio kwa kupima.
 
Kwa ufupi watu wameleta mizaha, na kejeli, cjaona aliejenga swali thread nzima kwa nia ya kutaka kufundishwa, wengi wapo nje ya madhumuni ya Uzi huu

Tanzania nchi ya kusadikika sana kwenye vitu makini watu wana mizaha, kwenye mizaha wanachangia kwa makini

Nenda MMU utajua nnachomaanisha
Kabisa mkuu,
 
jaman kunaswal la hesabu hapa limenishnda naomben msaada" ( 1/4robo ya ng'ombe wa mzee yagayaga wamekufa,,1/5 ya ng'ombe waliobak n wagonjwa,,..ng'ombe 180 n wazima!!! je! mzee anang'ombe wangap???
 
Hii thread ni nzuri sana na yenye maana na pia kuna walimu na wajuzi wa mambo mengi ILA tatizo ni wauliza maswali...sijui Watz tuna laana gani yaani kila kitu siasa na masihara....Mungu atusaidie tu.
 
hautaganda. dunia na vitu vyote ndani yake vinazunguka kwa speed ya 1600km/hr. ni kama tuko kwenye basi ukirusha funguo juu itatua ulipo sababu nayo ipo kwenye mwendo.
Kwahiyo inamaana dunia itazunguka faster na kurudi na kunikuta palepale nitakapodrop chini?
 
BIBLE KNOWLEDGE niulize Mimi:
Who is God?

According to the bible term" God" is a title no a proper name.Hebrew its "Elohim" in Greek it's "Theos" ,English its "God" and Swahili Ni Mungu! Biblia Inasema kuna miungu mingi 1 Kor 8:5,6
baadhi ya miungu hiyo ni Baali,Ashtorethi,Tamuzi,Artemi nk nk.

Mungu wa ukweli wa Biblia aliyeumba MBINGU na nchi Kulingana na Kutoka 6:2-5 na Zaburi 83:18 ni Yehova.
 
Wakuu naona kuna haja ya walimu kujipambanua ili wanafunzi/wenye maswali watupie kwa walimu husika. Mimi najipambanua kama mwalimu wa Chemistry, Biology & Geography kwa O~level.

Tupia swali lolote la masomo haya upewe majawabu haraka. Usisahau kuQUOTE au kuMENTION jina la mwalimu ili mwalimu apate notification.

Asante sana.
 
Back
Top Bottom