MwanaCCM huyu ni nani? Anaitaka Serikali kutowaruhusu wachekeshaji kuongelea suala la bandari kwa niaba ya watanzania au Serikali! awataja Kitenge

Leak

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
52,211
42,074
Mwana CCM huyu ameng’aka kabisa kuwa nimakosa makubwa Serikali kuruhusu hawa comedian(wachekeshaji) kuongelea suala la bandari

Anasema hawa wengi ndio wanasababisha mjadala kuwa mgumu na kuonekana na upotoshaji kwakuwa hawajui vitu muhimu vya kuongelea

Ameiomba serikali kuto ruhusu kila mtu kuwa msemaji wa swala la bandari kwani wengi wanaonekana wanapotosha hasa wachekeshaji wa Habari kama Wakina Kitenge ,hando na Steve Nyerere

Anasema hawa sio waandishi wa kureport swala la bandari bali ni wachekeshaji anasema kuna waandishi serious wanaweza kutumika ka Msemaji wa Ikulu na wengine lakini sio hawa wachekeshaji!
 
Mwana CCM huyu ameng’aka kabisa kuwa nimakosa makubwa serikali kuruhusu hawa comedian(wachekeshaji) kuongelea swala la bandari

Anasema hawa wengi ndio wanasababisha mjadala kuwa mgumu na kuonekana na upotoshaji kwakuwa hawajui vitu muhimu vya kuongelea….

Ameiomba serikali kuto ruhusu kila mtu kuwa msemaji wa swala la bandari kwani wengi wanaonekana wanapotosha hasa wachekeshaji wa Habari kama Wakina Kitenge ,hando na Steve nyerere….

Utasikia huyu sio mwenzetu .......pandikizo
 
Yaani tena hamna sehemu waliyoharibu kama hiyo.Kuwatumia sijui akina Zembwela,Kitenge,Hando,Steve Nyerere na kuwapa mara safari za dubai kwenda ofisi za DP world imewashusha sana vyeo.Hawa watu njaa wanaohama radio moja hadi nyingine kila siku,watu ambao ukiwasikiliza hawaongei kwa kutumia akili bali tumbo ndio wanasimamia kidete hii issue.Mnaacha kuomba ushauri kwa wasomi waliobobea katika sheria mnaenda kuchukua walamba miguu wakusema kila kitu ndio?hii inaonyesha ni namna gani ccm hampo serious na mambo ya muhimu
 
BRAINS
Itabidi Faizafoxy apewe usemaji wa Bandari na DP WELD.

Atakuwa Huyu hapa chini
 
Mwana CCM huyu ameng’aka kabisa kuwa nimakosa makubwa serikali kuruhusu hawa comedian(wachekeshaji) kuongelea swala la bandari

Anasema hawa wengi ndio wanasababisha mjadala kuwa mgumu na kuonekana na upotoshaji kwakuwa hawajui vitu muhimu vya kuongelea….

Ameiomba serikali kuto ruhusu kila mtu kuwa msemaji wa swala la bandari kwani wengi wanaonekana wanapotosha hasa wachekeshaji wa Habari kama Wakina Kitenge ,hando na Steve nyerere….

Anasema hawa sio waandishi wa kureport swala la bandari bali ni wachekeshaji anasema kuna waandishi serious wanaweza kutumika ka Msemaji wa Ikulu na wengine lakini sio hawa wachekeshaji!
Mwana CCM huyu ameng’aka kabisa kuwa nimakosa makubwa serikali kuruhusu hawa comedian(wachekeshaji) kuongelea swala la bandari
Hatimaye kunapambazuka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwana CCM huyu ameng’aka kabisa kuwa nimakosa makubwa serikali kuruhusu hawa comedian(wachekeshaji) kuongelea swala la bandari
Kuangaza kuzibana midomo kwa hawa wachekeshaji wanao-support kutazuia hata wale wanaopinga hence kufunga mjadala mazima - Kila mtu ana haki ya kuongelea mali yao; lakini ili kusiwe na upotoshaji jambo moja lazima lifanyike kuwe na UWAZI ili hao wachekeshaji wanaosupport na wanaopinga wawe na uhakika na wanachosema - haya mambo ya USIRI kwenye mali za Taifa ni Upuuzi
Anasema hawa wengi ndio wanasababisha mjadala kuwa mgumu na kuonekana na upotoshaji kwakuwa hawajui vitu muhimu vya kuongelea….
Iwapo cha kuonyeshwa kinachaguliwa au mpaka kivuje na mkataba halisi wala hatutajua utakuwaje na hata Rais alishashangaa eti vipengele vimeongezwa ni nani anajua cha kuongelea kama hata hatuna uhakika kinachoongelea ndicho kitakuwemo kesho exactly
Ameiomba serikali kuto ruhusu kila mtu kuwa msemaji wa swala la bandari kwani wengi wanaonekana wanapotosha hasa wachekeshaji wa Habari kama Wakina Kitenge ,hando na Steve nyerere….
Usemaji is one thing kuongelea is another Serikali ikianza kunipangia vya kusema makes you wonder where they will draw the line....; Ila tabia ya mwanadamu unacheka leo akinyolewa huyu unachekelea unasahau kesho itakuwa zamu yako kwa wembe ule ule
Anasema hawa sio waandishi wa kureport swala la bandari bali ni wachekeshaji anasema kuna waandishi serious wanaweza kutumika ka Msemaji wa Ikulu na wengine lakini sio hawa wachekeshaji!
Kwanini tusemewe na mambo yasiwe wazi kama gazeti kuanzia alfa mpaka omega ili tujadili ?
 
Yaani tena hamna sehemu waliyoharibu kama hiyo.Kuwatumia sijui akina Zembwela,Kitenge,Hando,Steve Nyerere na kuwapa mara safari za dubai kwenda ofisi za DP world imewashusha sana vyeo.Hawa watu njaa wanaohama radio moja hadi nyingine kila siku,watu ambao ukiwasikiliza hawaongei kwa kutumia akili bali tumbo ndio wanasimamia kidete hii issue.Mnaacha kuomba ushauri kwa wasomi waliobobea katika sheria mnaenda kuchukua walamba miguu wakusema kila kitu ndio?hii inaonyesha ni namna gani ccm hampo serious na mambo ya muhimu
Huyu hapa
 
Wale wamekaa mbali huko wakiusoma mchezo kwa kuwa ni Muhimu kuweka akiba ya maneno……

Their souls will judge them in the future!
 
Yaani tena hamna sehemu waliyoharibu kama hiyo.Kuwatumia sijui akina Zembwela,Kitenge,Hando,Steve Nyerere na kuwapa mara safari za dubai kwenda ofisi za DP world imewashusha sana vyeo.Hawa watu njaa wanaohama radio moja hadi nyingine kila siku,watu ambao ukiwasikiliza hawaongei kwa kutumia akili bali tumbo ndio wanasimamia kidete hii issue.Mnaacha kuomba ushauri kwa wasomi waliobobea katika sheria mnaenda kuchukua walamba miguu wakusema kila kitu ndio?hii inaonyesha ni namna gani ccm hampo serious na mambo ya muhimu
Wanaishi na vichwa visivyokuwa na UBONGO!!!
 
Back
Top Bottom