Mwana JF bora 2016.. OVERALL

Hakuna aliyebora zaidi isipokuwa wote ni bora.

Anayepost ujinga tunajifunza

Anayepost ya maana tunayatafakari na kuyafanyia kazi.

Kwangu humu ndani wote bora, kwani mwerevu anaweza kujifunza zaidi kutokana na mambo ya kijinga kuliko mjinga kujifunza kutokana na mambo ya busara.

Hivyo kila mmoja humu ni muhimu na ana nafasi yake katika kuiendeleza jamiiforums.
Naomba nipingane na wewe kuna wanajukwaa wengine ni hewa yani in wapumbavu wamevuka ujinga na hakuna cha kujifunza kutoka kwao, mfano ni Lizaboni
 
Chief mkwawa anafaa zaidi, kiranga amepotea kidogo jukwaani ila jamaa ni hatari
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom