Miaka minne tu, shule inakuwa bora na Wanafunzi wengi

Mar 21, 2024
20
78
Habari wakuu,

Wakuu Mimi ni Kijana wa kitanzania mwenye umri wa miaka 23 hivi sasa, pia mwanafunzi wa moja ya Chuo kikuu hapa jijini na chukua shahada ya kwanza ualimu sayansi yaani bachelor of science with education mwaka wa tatu.

Wakuu lengo, la kuandika Uzi huu ni kuwa Nina project proposal kwa wamiliki wa shule, proposal ambayo inaonesha kwa jinsi gani na ipi shule inaweza kuwa Bora ndani ya Miaka minne shule inakuwa best na ina enroll wanafunzi wengi.

Kwa wakurugenzi wa shule na wakuu walio humu karibuni in-box ili tuweze kushare ideas hizi nazotaka kuziuza.

Pia soma: Asanteni sana, japo replies zilikuwa chache lakini JF imenifungulia dunia Jana na Leo
 
Hakuna jipya mkuu...kama CCM wanatumia goli la mkono, huna unachoweza kubadili kwenye elimu

Wasomi wa kuandika x, p etc ndio zao la mfumo! Soon, hawatajua hata kuandika sentensi iliyokamilika..si AI zipo!
 
Wewe bado mwanafunzi

Unatak wakurugenzi tukufuate inbox?

Huko serious dogo!

Just share hapa hio proposal yake

Tuichambue.....

Kama itakua bora tutakupongeza

Ni mapema sana kutuita wazee wenye uzoefu wa miaka mingi kwenye sekta hii eti kwa kigezo ch kutu uzia proposal
 
Back
Top Bottom