Thubutu. Eti mumng'oe JK. Thubutu, mtayaona ya Somalia hivi karibuni tu. Nyie maG hamtatawala katu kama mnampango wakumhujumu JK. Hata kwenye hizo nyumba zenu za ibada mnazokutania hamtafika tena huko kwani patakuwa hapatoshi. sisi tuishajichokea siku nyingi sana kwa hiyo hapa tunasubiria kisababu tu ili tulianzishe. Natamani mngelianzisha hata leo.
Bado Tanzania.........
Uganda pamekaa vibaya sana.If they succeed in Egypt, the movement will be heading to the south. Sudan will be next baada tu ya uhuru wa South Sudan in June, who knows may be Uganda and ..........
Fuatilieni habari kwenye tv za kimataifa, polisi wamezidiwa huko Misri. Idadi ya wanaomiminika mitaani inazidi kuongezeka. It is probably impossible to contain the situation at this point, and may be Hosni Mubarak will have to pack and go.
Baada ya sanduku la kura kushindwa kuondoa utawala mbovu madarakani, nguvu ya umma inaonekana ndiyo suluhisho la uhakika. Tunasubiri nini watanzania?

Huko aliko nadhani anapata tumbo la kuharisha anaposikia ya Misri.
Hivi kama tukimtoa JK, tumuweke nani?[/QUOTE]
mniweke mimi ili niwarudishie migodi yote na kujenga kinu cha nyuklia kwa ajili ya kuzalisha na kuuza umeme, ila mniruhusu niwashughulikie mafisadi in my own way.
kwa nini hizo western countries marafiki zake wasimsaidie? Jana Hillary Clinton alisema Hosni Mubarak anatakiwa asikilize sauti ya UMMA!!!!!
Huko aliko nadhani anapata tumbo la kuharisha anaposikia ya Misri.
Hivi kama tukimtoa JK, tumuweke nani?[/QUOTE]
mniweke mimi ili niwarudishie migodi yote na kujenga kinu cha nyuklia kwa ajili ya kuzalisha na kuuza umeme, ila mniruhusu niwashughulikie mafisadi in my own way.
Mkuu Utingo, Bandika siivi yako hapa mkuu, lakini usiwe una u-Dr.
Moto huo ukiwaka Bongo sijui shosti yangu KIKWETE atakimbilia wapi?