Mwamko wa Mabadiliko Misri na Hatima ya Hosni Mubarak

HUKO LAZIMA KUTAKUWA NA INTENSE FIRE kati ya vyombo vya dola na utawala, waandamanaji walidai wakitoka masjid wanamwagika mtaani kwa upamoja yaani muslims & christians.
Keep us updated...
 
As a result people were knocking doors to doors to encourage people to protest. So, this revolution will not be tweeted?

The revolution will neither be live televised nor mobilized, the revolution will be revolutionized!
 
Fuatilieni habari kwenye tv za kimataifa, polisi wamezidiwa huko Misri. Idadi ya wanaomiminika mitaani inazidi kuongezeka. It is probably impossible to contain the situation at this point, and may be Hosni Mubarak will have to pack and go.

Baada ya sanduku la kura kushindwa kuondoa utawala mbovu madarakani, nguvu ya umma inaonekana ndiyo suluhisho la uhakika. Tunasubiri nini watanzania?

Naangalia breaking news CNN police wamezidiwa na NGUVU YA UMMA
 
Waandishi wa CNN wameporwa camera na serikali imefunga facebook na twiter kweli people power ni balaa
 
The message is very clear to the goverment that HOSNI MUBARAK SHOULD PACK AND GO...haya mapinduzi yanatoa fundisho la hali ya juu kwa watawala wanaolewa madaraka
 
Any country (including ours) which has religious zeal mixed into its politics and rules, will bring on violent uprisings at times...one side believes different than the other, you should or shouldnt do that...

..how about having a country where government is free from religious influence...
oh, wait. that's supposed to be ours.
 
kaka Derimto inauma sana lakini everything begins with you. Mimi niko tayari kuandamana mpaka mwisho. Kuna mambo nimeelezwa magumu kuamini lakini ni kweli tupu. Kiufupi nimepata roho ngumu sana na niko tayari kwa lolote.

Hayo ulioelezwa ukayaona magumu kuyaamini yaweke hapa jamvini ili wenye habari wapate kuyadhibitisha,hakuna sababu ya kubakia nayo moyoni.Ufisadi unaoendelea Tanzania ni wa hali ya juu,kwa hali ilivyo tulipaswa hata tuwatangulie Tunisia kuleta mageuzi.Timing is very crucial in every thing.Time for change is now.Tukiwapa muda mafisadi watajipanga na kuendelea kutugawa kupitia sumu ya udini ambayo wameimwaga sasa.Hakika wakati wa ukombozi wa Tanzania umewadia na wakati huo ni sasa.
 
Katiba Katiba Katiba inayobeba mawazo ya wengi ni muhimu sana kwa AMANI na si vingenevyo kuendelea kukumbatia katiba mbovu zinazolinda maslahi ya familia chache zenye kula keki ya taifa peke yao ni janga si ajabu hili kutokea pale nyumbani
 
Fuatilieni habari kwenye tv za kimataifa, polisi wamezidiwa huko Misri. Idadi ya wanaomiminika mitaani inazidi kuongezeka. It is probably impossible to contain the situation at this point, and may be Hosni Mubarak will have to pack and go.

Baada ya sanduku la kura kushindwa kuondoa utawala mbovu madarakani, nguvu ya umma inaonekana ndiyo suluhisho la uhakika. Tunasubiri nini watanzania?

2011128122259641784_20.jpg
Opposition leader and former UN nuclear watchdog chief Mohamed ElBaradei prayed with thousands on Friday [AFP]

Protests have erupted in cities across Egypt following Friday midday prayers, with angry demonstrators demanding an end to Hosni Mubarak's 30-year presidency. Tens of thousands of protesters have taken to the streets across the country, witnesses have said.
Al Jazeera's Rawya Rageh, reporting from the Mediterranean port city of Alexandria, said protesters streamed out of mosques shortly after prayers to chant slogans against Mubarak. Police responded immediately, firing tear gas to disperse the crowd.
Alexandria is a stronghold of the Muslim Brotherhood, Egypt's technically banned but largest political opposition group, but Rageh said the crowds in the city predominantly consisted of "ordinary citizens".
"This is the same mosque where protests were held against police brutality in June after a 20-year-old man was beaten to death by police," she said. "It's very symbolic that the current protests are taking place at the same place all over again."
Protests were also reported in Suez, a port on the Red Sea east of Cairo, and in the Nile Delta cities of Mansoura and Sharqiya, witnesses said.
Clashes between protesters and police erupted outside a mosque in Cairo. Protesters reportedly threw stones and dirt at the police after security forces confronted them. They held up posters saying "No to dictatorship" and stamped on posters of Mubarak.
Friday marked the fourth consecutive day of protests in the Middle East's most populous nation coming on the heels of a social uprising in nearby Tunisia that ousted that country's president of 23 years.
Mohamed ElBaradei, the former head of the United Nations' nuclear watchdog and an opposition leader in Egypt, returned to the country on Thursday night after telling reporters he was ready to lead a "transition" if asked. On Friday, he prayed with thousands of worshippers at a mosque in Cairo and had reportedly been prevented from moving freely by security forces.
The countrywide violence has so far left seven people dead.
In response, the government has promised to crack down on demonstrations and arrest those participating in them. It has blocked internet, mobile phone and SMS services in order to disrupt the planned demonstrations.

Kidume huyo only if we could have a leader kama huyu Tanzania CCM tungeliaga muda mrefu!!!! Akina Dr Salim, Warioba, Mwakyembe, Sitta wote wanauma na kupuliza wanatetea ugali wao hakuna mwanamapinduzi wa kweli Tanzania. Dr Slaa amemezwa na ubaguzi wa kidini jambo linamuharibia kama sio kumbomoa kabisa (maana wengine tulikuwa tunamkubali ila siku hizi hapana wacha tumkalie mbali).
 
Nayatazama haya mambo live Aljazeera, kwa kweli ni hamasa tupu jinsi polisi wanavyochezewa akili na waandamanaji!! Sijui polisi watumie nguvu nyingi hivyo kutetea mamlaka ambayo hayana tena ridhaa ya wananchi. Hata kama polisi watashinda, walioko madarakani watamuongoza nani?
 
Hayo ulioelezwa ukayaona magumu kuyaamini yaweke hapa jamvini ili wenye habari wapate kuyadhibitisha,hakuna sababu ya kubakia nayo moyoni.Ufisadi unaoendelea Tanzania ni wa hali ya juu,kwa hali ilivyo tulipaswa hata tuwatangulie Tunisia kuleta mageuzi.Timing is very crucial in every thing.Time for change is now.Tukiwapa muda mafisadi watajipanga na kuendelea kutugawa kupitia sumu ya udini ambayo wameimwaga sasa.Hakika wakati wa ukombozi wa Tanzania umewadia na wakati huo ni sasa.
Mwan JF mwenzangua hata wamwege hiyo sumu kiasi gani.... mwisho wa siku maisha yanatugonga wote, na wizi wa mali ya uuma unatuumiza wote.... na hiki ndicho kinachopelekea 'uprising' ya umma. Na nina uhakika hata hao wanaopigia makelele udini by the end of this year hawatokuwa na nguvu tena..... huwezi kukaa siku nzima unapiga kelele za udini wakati kwako huna chakula na wala hujui utakula nini, wakati unaemtetea anakupita na gari kafunga vioo... na kila baada ya wiki anaenda kupumzika serengeti!!!!
 
Kwa great thinker yeyote...anaposoma au kuangalia kazi za wenzako unajifunza kitu, na kama una tatizo unaangalia jinsi mwezio alivyotatua tatizo lililokuwa linamkabili, ili na wewe utatue lako.... Je wabongo mnajifunza nini katika hizi 'uprising'. Au ndio tunaangalia kama sinema za kufurahisha, wakati tuna matatizo sawa na hawa wenzetu!!!!! Tafakarini.....:coffee:
 
ninyi kaeni kimya msubir........mikakati na namna ya kumuondoa huyu wa hapa tz inakuja.........si mko tayari kufanya uchaguzi ndani ya huu mwaka?!!
 
thats gud kweli nguvu ya umma ni kiboko hivi hivi anaikimbia ikulu kwa staili hii mafisadi wajiandae kukimbia nchi kwa hii staili mpya akuna vita wala nini wanaume wanaandamana bila silaha
 
Back
Top Bottom