Mwamko wa Mabadiliko Misri na Hatima ya Hosni Mubarak

Unafiki wa Wazungu huujui mkuu??? Kwao wao jiwe linaweza kuitwa mkate na watu wakaaminishwa hivyo na kuamini na viceversa!!
kwa nini hizo western countries marafiki zake wasimsaidie? Jana Hillary Clinton alisema Hosni Mubarak anatakiwa asikilize sauti ya UMMA!!!!!
 
Pamoja na kufunga mitandao ya facebook na twitter pamoja na simu za mkononi lakini leo baada ya sala ya ijumaa huko miji ya Cairo, Suez na Alexandria maandamano makubwa yanaendelea na polisi wanakaribia kuishiwa nguvu. mabomu ya machozi yamekuwa kama moshi wa kawaida na ninavyopost hii thread Mohamed Albaradei ndo ameachiwa huru baada ya kukamatwa. Nimeamini people's power na pamoja na wingi wa mamia ya magari ya maji washa, mabomu ya machozi askari wa rungu elementi na magwanda ya kisasa lakini imekuwa ngumu kudhibiti watu.

Hili wimbi nataka lifike huku TZ na inanikumbusha mapinduzi ya kisosholist huko Romania na nchi nyingine. Tutetegemee mabadiliko makubwa kutokea Africa. Kwa sasa Wamistri wameamua kufanya sala barabarani badala ya misikitini na hii ndo update. Kwa taarifa zaidi angalia Aljazeera uone nguvu ya wananchi inavyozidi kufanya kazi ya kuondoa na kufanya kile ambacho viongozi wameshindwa kufanya ili ku safisha serikali.

Hii ina maana ya " Mwenzako akinyolewa wewe tia maji"
 
mhhh kwelikazi ipo mwaka huu....wa kwetu huyu ikifika level hiyo si anaweza kuanguka tena
 
Polisi wa Egypt ni more equiped kuliko wa TZ na pale Cairo kuna gari zaidi ya 100 za maji washa Tunisia hivyo hivyo. pamoja na vifaa vyote wameshindwa kudhibiti maandamano na wameapa mpaka mtu aondoke. Kwa hapa TZ najua Arusha kuna gari moja la maji washa na Dar may be matatu au mawili je wananchi wakiamua nafikiri baada ya masaa 4 kila kitu kitakuwa chali na huyu mkuu sidhani kama atasubiri masaa yote manne kabla ya kukimbia
 
Mobile phones and internet operators have suspended their services

As a result people were knocking doors to doors to encourage people to protest. So, this revolution will not be tweeted?
 
Pamoja na kufunga mitandao ya facebook na twitter pamoja na simu za mkononi lakini leo baada ya sala ya ijumaa huko miji ya Cairo, Suez na Alexandria maandamano makubwa yanaendelea na polisi wanakaribia kuishiwa nguvu. mabomu ya machozi yamekuwa kama moshi wa kawaida na ninavyopost hii thread Mohamed Albaradei ndo ameachiwa huru baada ya kukamatwa. Nimeamini people's power na pamoja na wingi wa mamia ya magari ya maji washa, mabomu ya machozi askari wa rungu elementi na magwanda ya kisasa lakini imekuwa ngumu kudhibiti watu.

Hili wimbi nataka lifike huku TZ na inanikumbusha mapinduzi ya kisosholist huko Romania na nchi nyingine. Tutetegemee mabadiliko makubwa kutokea Africa. Kwa sasa Wamistri wameamua kufanya sala barabarani badala ya misikitini na hii ndo update. Kwa taarifa zaidi angalia Aljazeera uone nguvu ya wananchi inavyozidi kufanya kazi ya kuondoa na kufanya kile ambacho viongozi wameshindwa kufanya ili ku safisha serikali.

Hii ina maana ya " Mwenzako akinyolewa wewe tia maji"

Inasogea hiyo, freedom is coming tomorrow?
 
Uganda pamekaa vibaya sana.
Huu mchezo anaofanya Museveni kuchukua viongozi wa Kenya kumsaidia Kampeni sijui kama utakua na mwisho mzuri.
Panaweza tokea vita maana Museveni hapendwi na wananchi wake lakini anatumia nguvu na jeuri ya hela.
Tangu mafuta yagundulike Museveni anamwandaa mtoto wake kuchukua madaraka.--> This is african politics at its best.

I can say kenya ndiko kuna democrasia kwa sasa though waliuana. lakini UG, TZ, Rwanda, Burundi ni mashaka matupu
 
Hapa kwetu tayari tulishagawanyika. Mkiandamana kumung'oa jk kuna kundi lingine litaandamana kumuunga mkono aendelee kubaki madarakani. Matokeo yake tutaanza kupambana wenyewe kwa wenyewe. Vita ya kunguru........
 
Kumekucha Cairo - Misri!
AlJazeera.jpg
 
Hao watakao muunga mkono mkono JK tutawashughulikia kwa sababu najua walio wengi hawatamuunga mkono. na watanzania wengi wanaweza tu kumwuunga mkono mpaka pointi fulani na wakiona wamezidiwa wanageukia upande wa wapinzani. Hivi unajua sifa kubwa za wanasiasa labda nikutajie:

1. Lazima uwe mnafiki ili upate maslahi yako kama alivyokuwa Moi alivyochukuliwa mke na Jomo Kenyatta
2. Lazima uwe mwoga
3. Bendera fuata upepo ili usibaki nyuma katika kuwa na collective responsibility na kutekeleza ilani ya Chama hata kama dhamira inakusuta
4. Kigeugeu na mwongo ili unaposoma alama za nyakati ujisafishe kwa kukana maneno na matamko yako mwenyewe haswa ukigundua mkuu wa nchi hakuungi mkono.
5. Kukosa aibu ili mradi mkono unakwenda kinywani

Sasa kwa hali kama hizi ni lazima tu tutawapata wengi toka Chama Cha Mabeberu
 
Aljazeera wanaishusha live sasa hivi hali ni mbaya kweli kweli
lakini nadhani polisi hawatumii risasi za moto.
 
Ma dictators wanajua nguvu ya social media katika kumobilise watu katika mapambano ya kuleta mabadiliko. Ndo maana news from Egypt zinasema authoroties have closed down internet and mibile phones services.
 
Wanajitesa...Utafanya hivyo kwenye soko huria, utaruhusiwa na nani?...labda kwenye mambo kama ya umeme Tanzania, ambako kuna monopoly!..ha ha haaa
 
201112813818244360_20.jpg

Thousands of people in Jordan have taken to the streets in protests, demanding the country's prime minister step down, and the government curb rising prices, inflation and unemployment.

In the third consecutive Friday of protests, about 3,500 opposition activists from Jordan's main Islamist opposition group, trade unions and leftist organisations gathered in the capital, waving colourful banners reading: "Send the corrupt guys to court".

The crowd denounced Samir Rifai's, the prime minister, and his unpopular policies.

Many shouted: "Rifai go away, prices are on fire and so are the Jordanians.''

Another 2,500 people also took to the streets in six other cities across the country after the noon prayers. Those protests also called for Rifai's ouster.

Members of the Islamic Action Front, the political wing of the Muslim Brotherhood and Jordan's largest opposition party, swelled the ranks of the demonstrators, massing outside the al-Husseini mosque in Amman and filling the downtown streets with their prayer lines.

King Abdullah has promised some reforms, particularly on a controversial election law. But many believe it is unlikely he will bow to demands for the election of the prime minister and Cabinet officials, traditionally appointed by the king.

Rifai also announced a $550 million package of new subsidies in the last two weeks for fuel and staple products like rice, sugar, livestock and liquefied gas used for heating and cooking. It also includes a raise for civil servants and security personnel.

Record deficit

However, Jordan's economy continues to struggle, weighed down by a record deficit of $2bn this year.

Inflation has also risen by 1.5 per cent to 6.1 per cent just last month, unemployment and poverty are rampant - estimated at 12 and 25 per cent respectively.

Ibrahim Alloush, a university professor, told the Associated Press that it was not a question of changing faces or replacing one prime minister with another.

"We're demanding changes on how the country is now run," he said.

He also accused the government of impoverishing the working class with regressive tax codes which forced the poor to pay a higher proportion of their income as tax.

He also accused parliament as serving as a "rubber stamp'' to the executive branch.

"This is what has led people to protest in the streets because they don't have venues for venting how they feel through legal means," Alloush said.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom