Mwamko wa Mabadiliko Misri na Hatima ya Hosni Mubarak

Gurudumu

JF-Expert Member
Feb 5, 2008
2,349
261
Fuatilieni habari kwenye tv za kimataifa, polisi wamezidiwa huko Misri. Idadi ya wanaomiminika mitaani inazidi kuongezeka. It is probably impossible to contain the situation at this point, and may be Hosni Mubarak will have to pack and go.

Baada ya sanduku la kura kushindwa kuondoa utawala mbovu madarakani, nguvu ya umma inaonekana ndiyo suluhisho la uhakika. Tunasubiri nini watanzania?

2011128122259641784_20.jpg

Opposition leader and former UN nuclear watchdog chief Mohamed ElBaradei prayed with thousands on Friday [AFP]


Protests have erupted in cities across Egypt following Friday midday prayers, with angry demonstrators demanding an end to Hosni Mubarak's 30-year presidency. Tens of thousands of protesters have taken to the streets across the country, witnesses have said.
Al Jazeera's Rawya Rageh, reporting from the Mediterranean port city of Alexandria, said protesters streamed out of mosques shortly after prayers to chant slogans against Mubarak. Police responded immediately, firing tear gas to disperse the crowd.

Alexandria is a stronghold of the Muslim Brotherhood, Egypt's technically banned but largest political opposition group, but Rageh said the crowds in the city predominantly consisted of "ordinary citizens".

"This is the same mosque where protests were held against police brutality in June after a 20-year-old man was beaten to death by police," she said. "It's very symbolic that the current protests are taking place at the same place all over again."

Protests were also reported in Suez, a port on the Red Sea east of Cairo, and in the Nile Delta cities of Mansoura and Sharqiya, witnesses said.

Clashes between protesters and police erupted outside a mosque in Cairo. Protesters reportedly threw stones and dirt at the police after security forces confronted them. They held up posters saying "No to dictatorship" and stamped on posters of Mubarak.

Friday marked the fourth consecutive day of protests in the Middle East's most populous nation coming on the heels of a social uprising in nearby Tunisia that ousted that country's president of 23 years.

Mohamed ElBaradei, the former head of the United Nations' nuclear watchdog and an opposition leader in Egypt, returned to the country on Thursday night after telling reporters he was ready to lead a "transition" if asked. On Friday, he prayed with thousands of worshippers at a mosque in Cairo and had reportedly been prevented from moving freely by security forces.

The countrywide violence has so far left seven people dead.

In response, the government has promised to crack down on demonstrations and arrest those participating in them. It has blocked internet, mobile phone and SMS services in order to disrupt the planned demonstrations.



Aljazeera Live huko Suez gari na maji ya washawashi limewashwa moto na waandamanaji!!!! Miji yote imekua moshi mtupu, sijui watoto na wagonjwa itakuwaje
 

Attachments

  • Egypt 8.jpg
    Egypt 8.jpg
    55.9 KB · Views: 83
  • Egypt 7.jpg
    Egypt 7.jpg
    76.5 KB · Views: 85
  • Egypt 9.jpg
    Egypt 9.jpg
    93.9 KB · Views: 83
  • Egypt 4.jpg
    Egypt 4.jpg
    29.2 KB · Views: 79
  • Egypt 5.jpg
    Egypt 5.jpg
    168.4 KB · Views: 96
Kwa kuwa jk yuko nje ya nchi tuanze maandamano nchi nzima kumtoa madarakani na ataishia hukohuko
 
Hosni Mubarak ni kibaraka wa western countries kwa muda mrefu sana anatumiwa kuwagandamiza wapalestina kwa kujifanya mediator.
 
Kwa kuwa jk yuko nje ya nchi tuanze maandamano nchi nzima kumtoa madarakani na ataishia hukohuko

Huko aliko nadhani anapata tumbo la kuharisha anaposikia ya Misri.

Hivi kama tukimtoa JK, tumuweke nani?
 
Hosni Mubarak ni kibaraka wa western countries kwa muda mrefu sana anatumiwa kuwagandamiza wapalestina kwa kujifanya mediator.

kwa nini hizo western countries marafiki zake wasimsaidie? Jana Hillary Clinton alisema Hosni Mubarak anatakiwa asikilize sauti ya UMMA!!!!!
 
kwa nini hizo western countries marafiki zake wasimsaidie? Jana Hillary Clinton alisema Hosni Mubarak anatakiwa asikilize sauti ya UMMA!!!!!
Western countries wajanja sana ndugu yangu Gurudumu wakiona maji yamezidi unga wanakugeuka wanajifanya wako upande wa umma, kumbuka walivyomfanya Sadam.
 
Western countries wajanja sana ndugu yangu Gurudumu wakiona maji yamezidi unga wanakugeuka wanajifanya wako upande wa umma, kumbuka walivyomfanya Sadam.

Nakubaliana nawe mkuu, lakini pia unajua hizi western countries zinashindania resources zetu. Wakati mwingine katika ushindani wao, usishangae mmoja akasupport nguvu ya umma na wengine wakasupport utawala. For them, it is not entirely about local democracy
 
Hao mnaojidai kuidharau nguvu ya umma tunawaomba msome alama za nyakati! Ipo siku haya yatafika hata hapa kwetu! Tunawahamasisha CCM waendelee na mkakati wao wa kuilipa Dowans wakati tunajua ni kampuni ya kifisadi ipo siku nchi nzima na sisi tutamwagika mitaani tuone kama hao Polisi wenu watapambana na nguvu ya umma.

Na sisi wa-TZ tukopeni kutoka kwa wenzetu!
 
Niagieni Mubarak! Amekaa jengoni utafikiri mfalme kumbe rais, Mh! Safari njema sijui utaelekea Saudia au wewe utawahi wapi! Unapoondoka usisahau kuwajulisha wanabaki kwenye madaraka kuwa - haki uinua taifa, ubabaishaji, ufisadi na uonevu haidumu milele na hautawahi hata kuishi miaka hamsini. Kila la kheri unapoendelea kujiandaa na safari.
 
Hao mnaojidai kuidharau nguvu ya umma tunawaomba msome alama za nyakati! Ipo siku haya yatafika hata hapa kwetu! Tunawahamasisha CCM waendelee na mkakati wao wa kuilipa Dowans wakati tunajua ni kampuni ya kifisadi ipo siku nchi nzima na sisi tutamwagika mitaani tuone kama hao Polisi wenu watapambana na nguvu ya umma.

Na sisi wa-TZ tukopeni kutoka kwa wenzetu!
Mkuu hata mimi huwa nashangaa sana watu wanaodharau haya mambo. Hayawi hayawi yatakuwa. Kama ni ukombozi hii ndio njia mbadala kwani kura wanaiba sasa ni nguvu ya umma. Lisemwalo lipo kama halipo linakuja. JK NA WATU WAKO MAWINGU NDIYO HAYO ITAKAPONYESHA MVUA MTASHINDWA KUJIFUNIKA HATA MFUKO WA PLASTIC.

 
2011 mwaka wa mabadiliko...
Tunisia
Yemen
Egypt
Tanzania,United Republic of
 
Huko aliko nadhani anapata tumbo la kuharisha anaposikia ya Misri.

Hivi kama tukimtoa JK, tumuweke nani?
Kama sikosei baada tu ya JK kuchaguliwa mwaka jana safari yake ya kwanza ilikuwa kutua Misri na kukutana na Hosni Mubarak.
 
:first:Mubarak hajulikani alipo mpaka sasa, Fisadi Kikwete akiona hivyo kwenye TV ndio anazidikuchanganyikiwa pamoja na mafisadi wenzake. We ngoja nguvu ya umma ikiingia mitaani Mafisadi wote watakoma maana tutadili nao kama hawatotuajia nchi yetu. Fisadi kikwete kama unasoma huu ujumbe basi ujue kuwa hatukutaki tumeshakuchoka wee sepa tu ikiwezekana omba ukimbizi hukohuko, na tutakufungulia mashitaka ya ufisadi INTERPOL inakusubiria wewe na Mafisadi wenzako :roll:
 
The Obama administration is openly supporting the anti-government demonstrations shaking the Arab Middle East, a stance that is far less tempered than the one the president has taken during past unrest in the region.
As demonstrations in Tunis, Cairo and Beirut have unfolded in recent days, President Obama and his senior envoys to the region have thrown U.S. support clearly behind the protesters, speaking daily in favor of free speech and assembly even when the protests target longtime U.S. allies such as Egypt.
Secretary of State Hillary Rodham Clinton said Wednesday that "the Egyptian government has an important opportunity . . . to respond to the legitimate needs and interests of the Egyptian people." She urged "the Egyptian authorities not to prevent peaceful protests or block communications, including on social media sites."
Asked whether the administration supports Egyptian President Hosni Mubarak, White House press secretary Robert Gibbs replied only: "Egypt is a strong ally."
Administration officials say they will pursue a dual-track approach in the coming weeks, both speaking with civil activists in Egypt and meeting with officials to encourage reform in the bellwether Arab nation.
Such an approach comes with a degree of risk in the region, where democratic reforms have often empowered well-organized Islamist movements at odds with U.S. objectives. As a result, the United States has often favored the stability of authoritarian allies in the Middle East over the uncertainty of democratic change.
The administration's assertive stance contrasts sharply with Obama's approach during his first year in office, when he often tempered his advocacy of human rights and democracy with a large measure of pragmatism. His decision this time reflects the rising importance of those issues in his foreign policy goals.
The president is also less reluctant to inject the United States into the Arab Middle East after two years of speaking directly to the Muslim world, withdrawing U.S. forces from Iraq and supporting an Israeli-Palestinian peace process, even though it has since faltered. Polls show U.S. popularity rising in many Arab countries since Obama took office and falling in a smaller number of others.
"Some of the confidence and assertiveness comes from having spent time in government, and now we've identified ways where we want to make our push," said a senor administration official, who spoke on the condition of anonymity to discuss White House thinking on the Middle East developments.
The official said Obama's emphasis on Internet freedom as well as on U.S.-funded programs to encourage rule of law and government accountability are among the measures the administration is using to foster change.
"We've aligned our approach to where we see the currents of democratic reform moving," the official said.
Hosni Mubarak ni kibaraka wa western countries kwa muda mrefu sana anatumiwa kuwagandamiza wapalestina kwa kujifanya mediator.
 
Serikali ya Kikwete yenyewe hadi sasa yapumulia mashine, ni kwamba tu wengi hamjatambua ukweli huo. Kwaulize nisiders upate picha halisi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom