sajosojo
JF-Expert Member
- Apr 14, 2010
- 1,017
- 619
Kwa wale waliomaliza shahada ya ualimu (especially wale wanaofundisha physics) katika vyuo vinavyotambulika na bado wanasubiri kupangiwa nitafute nikuunganishe na shule moja ya private -iringa upate ajira lakini itabidi unilipe kama dalali kwa jinsi tutakavyo kubaliana....kwa info zaidi nichek 0713532322 note: mshahara utalipwa kulingana na viwango vya serikali kwa mwalimu mwenye degree