Mwalimu wa physics advance anaitajika shule moja ya private iringa

sajosojo

JF-Expert Member
Apr 14, 2010
1,017
619
Kwa wale waliomaliza shahada ya ualimu (especially wale wanaofundisha physics) katika vyuo vinavyotambulika na bado wanasubiri kupangiwa nitafute nikuunganishe na shule moja ya private -iringa upate ajira lakini itabidi unilipe kama dalali kwa jinsi tutakavyo kubaliana....kwa info zaidi nichek 0713532322 note: mshahara utalipwa kulingana na viwango vya serikali kwa mwalimu mwenye degree
 
Kwa wale waliomaliza shahada ya ualimu (especially wale wanaofundisha physics) katika vyuo vinavyotambulika na bado wanasubiri kupangiwa nitafute nikuunganishe na shule moja ya private -iringa upate ajira lakini itabidi unilipe kama dalali kwa jinsi tutakavyo kubaliana....kwa info zaidi nichek 0713532322

wanalipa sh ngapi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom