DASA
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 1,031
- 301
Mmenistua! Hapo kuna kitu , mwl alikua Einstein hakosei, kama kweli hajawahi kuvaa kuna siri nzito!
Hahahah.. hii tamu. Labda alikuwa hapendezi akivaa nguo za rangi hiyo.
Mmenistua! Hapo kuna kitu , mwl alikua Einstein hakosei, kama kweli hajawahi kuvaa kuna siri nzito!
CCM wameanza kuitambulisha rangi za kijani na njano mwaka 1985 muda ambao Nyerere aling'atuka madarakani. Sasa ulitaka umuone wapi amevaa nguo za njano?
CCM wameanza kuitambulisha rangi za kijani na njano mwaka 1985 muda ambao Nyerere aling'atuka madarakani. Sasa ulitaka umuone wapi amevaa nguo za njano?
Fanya home work mkuu; Nyerere aliachia urais tu mwaka 1985, kama walianza kujitambulisha kwa nguo za kijani basi ni dhahiri mavazi hayo yalikuwa na baraka za mwenyekiti wa CCM Taifa wakati huo (JK Nyerere) ambaye aliachia uenyekiti mwaka 1987.
Kama hiyo haitoshi, uchaguzi mkuu wa mwaka 1995 Nyerere alizunguuka katika baadhi ya mikoa iliyoonekana migumu kumnadi mgombea wa ajabu aliyepitishwa kugombea urais kwa tiketi ya CCM ambaye alikuwa hauziki B W Mkapa.
Mikoa aliyotembelea kama Tanga, Tabora, Kilimanjaro hakuwahi kuonekana na sare za kijani kama wagombea na wapambe walivyokuwa wanajitambulisha. Mavazi ya Kijani hayana maana kwa watanzania zaidi ya wana-CCM wenyewe kwa wenyewe katika kulinda au kutafuta ulaji, kwa kigezo cha umwenzetu.
Nimeukuta mjadala huu
mahala fulani.
Eti wadau nasikia enzi za uhai wa
Hayati MWL. J. K. NYERERE
hakuwahi kuvaa SARE YA CHAMA,
CCM(kijani na njano) hata mara
moja.
Je, jambo hili linaukweli ndani
yake? Na kama ni kweli
tunajifunza nini?
Kwenye Matukio ya Muhimu sana kwa taifa alikuwa anavaa kama wanavyovaa Chadema.
Maguo ya kijani na njano yanaashiria wizi na unyonyaji so yanatakiwa yachomwe yote ili tuishi maisha bora.Ktk picha mbali mbali nlizobahatika kumwona nyerere cjawahi kumwona kabisa katinga hiya makijani ya magamba, so kuna kitu fulani chakujifunza hapa hasa kwetu vijana
Hayo manguo tulilazimishwa kuvaa sisi tulipokuwa CHIPUKIZI wakubwa walikuwa hawavai kabla ya 1992
CCM wameanza kuitambulisha rangi za kijani na njano mwaka 1985 muda ambao Nyerere aling'atuka madarakani. Sasa ulitaka umuone wapi amevaa nguo za njano?
CAMARADERIE,
Kumbe mdogo wangu!
Nadhani umenielewa vizuri kukujulisha kuwa CCM walitambulisha rasmi rangi za kijani mwaka 1985. Ni kweli kuwa Nyerere aliendelea na uenyekiti wa chama hadi mwaka 1987, lakini uelewe kuwa kipindi hicho vyombo vya habari kama TV havikuwepo kiasi cha kutotambua kuwa Nyerere amevaa ngua gani muda gani.