Madaraka Nyerere: Matusi niliyotukanwa yangekuwa mtaji ningeanzisha benki

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,305
Inaonekana kuwa mtoto wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ametukanwa na watu wengi baada ya kuzinduliwa Sanamu la hayati Nyerere huko Ethiopia, Makao Makuu ya Umoja wa Afrika AU.

Kupitia ukurasa wake wa "X" Madaraka amesema,

"Matusi niliyotukanwa yangekuwa mtaji ningeanzisha benki. #sanamu"

Screenshot_20240223-125029.jpg

Ikumbukwe kuwa Madaraka alihusika kwenye mchakato wa kulijenga Sanamu la Baba wa Taifa na pia ni moja ya watu waliosema kuwa Sanamu lililojengwa linafanana na Baba yake licha ya Watu wengi kukataa.

Mjanja M1 ✍️
 
View attachment 2913192

Nyerere alifsnya mengi, Ila watoto wake ni vituko kabisa, hakuna tajiri,msomi nguli, wapo wapo tu, wanaishi kwa handouts tu! Yaani umeshindwa hata kuwa mfanyabiashara wa mazao, vipodozi nk
 
Msijifanyie Sanamu ya kuchoma 🐼
Takataka zote hizo. Watu wanabishania sanamu.
AU weka kumbukumbu ya NyereRe kwa kujenga kiwanda, say cha Magari/ silaha/pikipiki or ny other industrial product iitwe Nyerere, mtakuwa mmemuezi vilivyo.
Kama unavyoona Nobel Prize ina Jina la mvumvuzi wa baruti.... akaanzisha kitu kimoja matata kabisa kwa kumbukumbu yake, NOBEL PRIZE. Siyo sanamu.

. Mnabishania sanamu BLADIFAKEN.

All in all. ile siyo sura ya Nyerere.
 
Inaonekana kuwa mtoto wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ametukanwa na watu wengi baada ya kuzinduliwa Sanamu la hayati Nyerere huko Ethiopia, Makao Makuu ya Umoja wa Afrika AU.

Kupitia ukurasa wake wa "X" Madaraka amesema,

"Matusi niliyotukanwa yangekuwa mtaji ningeanzisha benki. #sanamu"

View attachment 2913192

Ikumbukwe kuwa Madaraka alihusika kwenye mchakato wa kulijenga Sanamu la Baba wa Taifa na pia ni moja ya watu waliosema kuwa Sanamu lililojengwa linafanana na Baba yake licha ya Watu wengi kukataa.

Mjanja M1 ✍️
hile sanamu mbona kafanana nayo huyu madaraka?
 
Ni kweli sanamu hilo linafanana na Madaraka zaidi kuliko Julius.
 
kama mtoto wake kaikubali hiyo sanamu,wanaoikataa wachonge ya kwao wakaishindanishe na hiyo inayokataliwa.maana imekuwa nongwa
Mkewe ndio angetoa jibu sahihi kuliko watoto, kwani alikutana na Nyerere kabla ya watoto kutokea!!
 
Inaonekana kuwa mtoto wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ametukanwa na watu wengi baada ya kuzinduliwa Sanamu la hayati Nyerere huko Ethiopia, Makao Makuu ya Umoja wa Afrika AU.

Kupitia ukurasa wake wa "X" Madaraka amesema,

"Matusi niliyotukanwa yangekuwa mtaji ningeanzisha benki. #sanamu"

View attachment 2913192

Ikumbukwe kuwa Madaraka alihusika kwenye mchakato wa kulijenga Sanamu la Baba wa Taifa na pia ni moja ya watu waliosema kuwa Sanamu lililojengwa linafanana na Baba yake licha ya Watu wengi kukataa.

Mjanja M1 ✍️
Nina mashaka makubwa kuwa jamaa alikumbwa na hallucination wakati aki-confirm ile sanamu!
 
Madaraka mjinga sana amejifinyanga mwenyewe halafu anaita sanamu ya Mwalimu Julius Nyerere!

Kwanza atambue Mwalimu Julius Nyerere ni mali ya Taifa hivyo tuna haki ya kukosoa upotoshaji wo wote kuhusu yeye!
 
Nyerere alifsnya mengi, Ila watoto wake ni vituko kabisa, hakuna tajiri,msomi nguli, wapo wapo tu, wanaishi kwa handouts tu! Yaani umeshindwa hata kuwa mfanyabiashara wa mazao, vipodozi nk
Karma inafanya kazi tujifunze kukwepa maovu ili uzao wetu ukawe wa neema na sio laana
 
Back
Top Bottom