Yani mimi toka nisome threat yake nimechoka, hivi ao maprofesa wa uchumi, sheria na ao madaktari wamesomeshwa na wakulima? Wacha uvivu wa kufikiri mtoa mada ningekuwa nakuona wallah ningekupiga mawe, kumbe nyie ndo Watanzania muno akili za kuchangiwa na viongoz wasiojali maslah ya watumish wake, hivi unasapot mbunge alipwe mil 11 per mwezi lakin teacher alipwe laki 2. Ningefurah kama ningepata nafas ya kukupiga mawe