Mwalimu huyu alipwe bei gani?

mleta mada ningekushauri kabla ya kupost uwe unachukua hata muda wa kufikiria ulichokiandika mara mbili, 1. hivi unadhani ni walimu wote waliogoma wana division 4?Hebu fanya heshima kidogo, mimi ni mwalimu kitaaluma japo kwa sasa sifanyi kazi ya ualimu, nimegraduate mlimani na form six NILIFAULU KWA KISHINDO(Div 1), hivi kama na mimi ningegoma kwa mshahara wa 465,000 na kuhitaji nyongeza je, mimi pia ni kilaza??hakuna asiejuwa kuwa mwalimu anapata shida tanzania, na muhimu kuwajali walimu kwa sababu ndio wanaotoa aina ya watu wa taifa la leo na lijalo, hebu imagine walimu waamuwe kuwa na mgomo baridi,wakija class ni blaablaa tu, hivi unadhani kizazi kijacho kitakuwaje?FANYA HESHIMA DOGO
 
migomo, migomo, migomo ya walimu! Eti kuna mwalimu anagomemea sh. 250,000 kwa mwezi, kwani huyu mwalimu anayelipwa mshahara huu anazo sifa gani za kulipipwa zaidi?

Yeye ni form 1v division iv point 28 na wengine ni darasa la saba (upe), wakaenda kozi ya ualimu wiki 4-6, hivi wanategemea miujiza gani kwenye mishahara yao?

Binafsi watu hawa waelemishwe wajue sifa walizonazo kwanza, hii ni sawa na nurse attendants, co anayelalamikia mshahara mdogo pia kwa kujilinganisha na madaktari waliopata division i form iv na form vi na kwenda kozi miaka 6.

Binafsi hawa ndio wanaotakiwa kusikilizwa zaidi maana ndio wanaopunjwa na mfumo wa uchumi wetu.

akili zako hazina akili. Mshukuru mwalimu aliyekupa elimu ya msingi. Ndiye aliyeafanikisha ukaweza kutumia simu yako na laptop yako. Hata hao wenye uzamivu, bado wanasoa, si lolote si chochote.
 
Hakuna mtu ninaemuheshimu kama mwalimu, nakupenda sana mwalimu wangu wa darasa la kwanza, Mama Makazi (RIP)
 
Uwalimu sio sawa na ubunge, uwalimu ndio dira ya taifa, matokeo ya kuingiza watu kwenye kazi ya ualimu eti kwasababu combinations zimegoma sio sahihi. Tunapata walimu wasio na moyo wala uwezo wa kufundisha. Kufundisha ni kipaji vikichanganyika na uweledi.
 
Migomo, migomo, migomo ya walimu! Eti kuna mwalimu anagomemea sh. 250,000 kwa mwezi, kwani huyu mwalimu anayelipwa mshahara huu anazo sifa gani za kulipipwa zaidi?

Yeye ni form 1V division IV point 28 na wengine ni darasa la saba (UPE), wakaenda kozi ya ualimu wiki 4-6, hivi wanategemea miujiza gani kwenye mishahara yao?

Binafsi watu hawa waelemishwe wajue sifa walizonazo kwanza, hii ni sawa na nurse attendants, CO anayelalamikia mshahara mdogo pia kwa kujilinganisha na madaktari waliopata division I form IV na form VI na kwenda kozi miaka 6.

watu hawalipwi kwa kipimo cha kufaulu bali kwa kazi waifanyayo. wewe unashindwa kujua kuwa mtu akishakuwa mwalimu anaweza kwa muda mfupi akawa na maarifa makubwa sana ya kile anachofundisha kwa sababu atakuwa akiyasoma na kuyajifunza na kisha hubobea. ushahidi upo ukienda vyuo vikuu utakuta walimu ambao wamefkia hata uprofesa lakini walianzia na cheti. wewe unampima mtu si kwa kiwango alichonacho sasa bali kwa mambo ya zamani. je, wewe hukufundishwa na walimu? na je, hao walikuwa maprofesa tangu ukiwa chekechea? acha kudarau na kukejeli. hoja yako ni ya kimbea zaidi na haina mshiko ni bora uombe msamaha. kwa sababu wapo wengi wanalipwa vipato vikubwa lakini si kwa sababu wana div. i au ii
 
huyu mtu amenitapisha sana! nawakumbuka sana baadhi ya waalimu wangu nikianzia na wa darasa la chekechea mpaka kazini nilipo sasa: Mwalimu Alex Shayo, Mlay, Samba, Mtui, Karia, Tarimo, Kitungwa, Mronga, Naali, Kasanga, Musa Charles , Tibihika(RIP), Olesongoi, Kiliaki, Rutta(RIP), Mano,Mama Yagambe, Prof. Mtenga,Prof. Kurwijila,Prof Laswai, Prof. Lekule, Prof.Urio, prof. Kimambo, Prof. Muhikambele etc. Mungu aendelee kuwapa nguvu dhiki ya wanafiki kama mleta mada hii.
 
Migomo, migomo, migomo ya walimu! Eti kuna mwalimu anagomemea sh. 250,000 kwa mwezi, kwani huyu mwalimu anayelipwa mshahara huu anazo sifa gani za kulipipwa zaidi?

Yeye ni form 1V division IV point 28 na wengine ni darasa la saba (UPE), wakaenda kozi ya ualimu wiki 4-6, hivi wanategemea miujiza gani kwenye mishahara yao?

Binafsi watu hawa waelemishwe wajue sifa walizonazo kwanza, hii ni sawa na nurse attendants, CO anayelalamikia mshahara mdogo pia kwa kujilinganisha na madaktari waliopata division I form IV na form VI na kwenda kozi miaka 6.

Binafsi hawa ndio wanaotakiwa kusikilizwa zaidi maana ndio wanaopunjwa na mfumo wa uchumi wetu.
huu ni ukweli mtupu na mfumo wetu ni kwamba the harder u work in class the higher ur pay,sasa hawa waalimu ni failures,watatakaje walipwe sawa na waliofaulu,huu ukweli wanasiasa hawawezi kuwaambia,lkn ukweli ni kuwa hawakupata marks za juu darasani.
 
Ha ha ha kama ni matusi nimeyapata kwa kuanzisha hii thread, huu ni ushahidi tosha kuwa tumefundishwa na walimu ambao sio. matusi kejeli na vitimbi haviondoi ukweli kwamba walimu wengi ni vihiyo "unfit for the job", hence poor quality output. let us group teachers basing on merits and quality of their output. Unajua ni bora ya pengo kuliko jino bovu. Bora ijulikane hatuna walimu kuliko kuwa na walimu wa division IV point 28 (failures). Hawatusaidii kitu hawa, walikuwa watoro darasani, waliwapiga walimu wao manati hawa, ualimu halikuwa chaguo lao wamelazimishwa na ukilaza wao. Tulipokuwa enzi zetu hatuna walimu shuleni tulipata walimu kutoka Marekani, Japan, Urusi, Zimbabwe (wakimbizi), uingereza and Scandinavian countries kuja kutusaidia kujaza nafasi, we were much better academically. Kuwa-praise hawa walimu ni kutengeneza graduates wakaanga chips tu mjini na watu wasioweza kufikiri sawasawa. Ona vijana wetu wanashindwa hata kupanga miji yetu ipendeze, wanatoa double allocation ya viwanja, mikataba ya madini haieleweki, vijana wanakimbia vijijini kwenye ardhi tele ya kulima na kufuga na kwenda mijini kuajiriwa na kutembeza mashati. Mwalimu hafundishi darasani zaidi ya kulalamikia madeni aliyokopa mwenyewe Bypot, NMB, FINCA, na kwa wafanyabiashara. Nadhani Tunahitaji Ma DC wengi wa aina ya MNALI. Juzi nilikuwa South Africa na timu ya wataalamu wetu (maprofessor) kwenye conference fulani, ukiangalia quality ya paper wanazopresent wasomi wetu ziko below standard, wanasoma between the lines word after word kazi zao wenyewe. Umeme ukikatika nayeye anastop hapohapo kutoa mada. Mimi simo
 
Kavula:yeyote aliyewahi kufundishwa na mwalimu katika kiwango chochote cha elimu,hakuelewi hata kidogo kuhusiana na ''upumbavu''huu uliouandika hapa kuhusu mwalimu.nashukuru kuna watu wamekuelimisha vya kutosha na sherti ulipie hiyo huduma uliyopata.
 
Let me give you an idea! Kuna mwalimu anafundisha kuanzia chekechea mpaka darasa la saba wanafunzi mia nne! Yuko peke yake! Ni 23 km kutoka moro mjini! Huyu Mwalimu hana nyumba anasaidiwa na mzazi wa mwanafunzi wake! Hivi huyu Mwalimu kwa akili yako alipwe bei gani?
 
Ha ha ha kama ni matusi nimeyapata kwa kuanzisha hii thread, huu ni ushahidi tosha kuwa tumefundishwa na walimu ambao sio. matusi kejeli na vitimbi haviondoi ukweli kwamba walimu wengi ni vihiyo "unfit for the job", hence poor quality output. let us group teachers basing on merits and quality of their output. Unajua ni bora ya pengo kuliko jino bovu. Bora ijulikane hatuna walimu kuliko kuwa na walimu wa division IV point 28 (failures). Hawatusaidii kitu hawa, walikuwa watoro darasani, waliwapiga walimu wao manati hawa, ualimu halikuwa chaguo lao wamelazimishwa na ukilaza wao. Tulipokuwa enzi zetu hatuna walimu shuleni tulipata walimu kutoka Marekani, Japan, Urusi, Zimbabwe (wakimbizi), uingereza and Scandinavian countries kuja kutusaidia kujaza nafasi, we were much better academically. Kuwa-praise hawa walimu ni kutengeneza graduates wakaanga chips tu mjini na watu wasioweza kufikiri sawasawa. Ona vijana wetu wanashindwa hata kupanga miji yetu ipendeze, wanatoa double allocation ya viwanja, mikataba ya madini haieleweki, vijana wanakimbia vijijini kwenye ardhi tele ya kulima na kufuga na kwenda mijini kuajiriwa na kutembeza mashati. Mwalimu hafundishi darasani zaidi ya kulalamikia madeni aliyokopa mwenyewe Bypot, NMB, FINCA, na kwa wafanyabiashara. Nadhani Tunahitaji Ma DC wengi wa aina ya MNALI. Juzi nilikuwa South Africa na timu ya wataalamu wetu (maprofessor) kwenye conference fulani, ukiangalia quality ya paper wanazopresent wasomi wetu ziko below standard, wanasoma between the lines word after word kazi zao wenyewe. Umeme ukikatika nayeye anastop hapohapo kutoa mada. Mimi simo

Yani wewe ni lijinga kabisa hata hujui chanzo cha matatizo ya elimu nchini
 
inawezekana upo sahihi but huaeleweka kwa wadau,waambie IQ ni lita ngapi za komoni
 
Attachments

  • uploadfromtaptalk1345075472250.jpg
    uploadfromtaptalk1345075472250.jpg
    7 KB · Views: 116
Mleta hoja ana akili ya kubebewa. Maelezo yoote hayo unadahau kuwa madaktari na hao wa Div 1 zenye point chini ya 6 kuwa walipokuwa shule za msingi wamesomeshwa na walimu hao hao. Wewe ni jinga sana bana.
 
Ulichokiongea unakifahamu na unauhakika nacho au ulisikia watu wanaongea na wewe ukakichukua na kukileta hapa?
 
Mleta thread hii, ama ni mgonjwa, punguani au ametumwa na waliomtuma wanatambua upumbavu wake, Steven Ngonyani, Jah people na Livingstone Lusinde wanalipwa million kumi na moja{11,000,000/= kwa mwezi kwa elimu ya drs la 7 bila ya course yoyote kwa kazi ya kugonga meza bungeni. Professor Muhongo analipwa kidogo kuliko kikwete mwenye degree ya bachelor ya GPA 2.3 wapi na wapi. Akili yako imeshambuliwa na virus wa wivu, roho mbaya/chafu, ulaaniwe siku zote za maisha yako. Fisadi mkubwa wa maisha ya Walimu.
 
Migomo, migomo, migomo ya walimu! Eti kuna mwalimu anagomemea sh. 250,000 kwa mwezi, kwani huyu mwalimu anayelipwa mshahara huu anazo sifa gani za kulipipwa zaidi?

Yeye ni form 1V division IV point 28 na wengine ni darasa la saba (UPE), wakaenda kozi ya ualimu wiki 4-6, hivi wanategemea miujiza gani kwenye mishahara yao?

Binafsi watu hawa waelemishwe wajue sifa walizonazo kwanza, hii ni sawa na nurse attendants, CO anayelalamikia mshahara mdogo pia kwa kujilinganisha na madaktari waliopata division I form IV na form VI na kwenda kozi miaka 6.

Binafsi hawa ndio wanaotakiwa kusikilizwa zaidi maana ndio wanaopunjwa na mfumo wa uchumi wetu.

OK, vipi wale ma graduate wa UDSM wanalipwa sh ngapi?

Alafu unasemaje juu ya inflation which is 20% plus?

Mazingira jee ya kazi??

Elewa kuwa watu wanagoma sababu ya Rushwa kama hujui...hasa pale wanavyosikia watu binafsi wamepora fedha serikalini katika kashfa mbalimbali kama EPA, Sekta ya Nishati na madini na nyingine nyingi. Hiyo ndio sababu ya migomo.

Jiulize mbona Nyerere alituambie tufunge mikanda tukakubali?? Waambie watu sasa hivi kama hawajakupiga mawe..

Jaribu kuleta mada kwa hoja za msingi sio unakurupuka tuu.
 
Jaman uyu mi cmshangai sn inawezekana kaishia chekechea na ndo mana hajui umuhimu wa walimu.laiti angejuaaa!!ila nakushaur kapeleke thred yko CCW.
 
Back
Top Bottom