Nyerere angeruhisi kukoselewa, Tanzania ingekuwa mbali sana hivi sasa...!
Kuendesha gari siku za Jumamosi na Jumapili ilikuwa marufuku....! Dah!
Nchi zingine watu walioliwa kwa mamilioni na nchi zilikuwa in a state of emergency 24/7. Anyway ni kweli alikua na mapungufu yake na aka kiri. Je ni viogozi wangapi leo wana weza kutamka hadharani kuwa wana kubali kukosa? Hata Mwinyi na Mkapa leo hii hawa kubali makosa yoyote. Let's just admit if, looking at African leaders of the time tuli bahatika. He wasn't perfect but he was no Iddi Amin, Mobutu Sese Seko or Bokasa.

Ukitaka uamini kuwa jamaa alikuwa kichwa na kiona mbali, ebu sikiliza hotuba zake za miaka zaidi ya 20 iliyopita. Utashangaa utakapoona kuwa hadi sasa maneno yake ni VALID. Marais waliofuata baada ya hapo sijui kama walikuwa wanaona mbali. Lakini yote katika yote, huyu tuliye nae sasa ndiyo basi kabisa. Anaona pungufu ya urefu wa pua yake.
Kwenye kuhutubia tu ...Oh! Alikuwa hodari kweli kweli.Ni kweli kabisa mkuu.Nawashauri baadhi ya wana jf ambao hawajapata kuzisikia vizuri hotuba zake wazitafute kwa hawa jamaa wanaouza CD na waziskilize.....