Mwakyembe anasikitisha! Walaaniwe wanaohusika!

NI KWELI ILA HAIJALISHI NGUDU YANGU MUNGU WETU HANA UBAGUZI,HAWAI AMA KUCHELEWA REHEMA ZAKE NI KWA KILA MTU BILA KUJALI ILA NI KWA WOTE WAMCHAO NA KUMWAMINI KATIKA KWELI!

bado nasisitiza hakuna kilichowahi kushindika kwa Mungu,hakuna kinachoshindikana na hakuna kitachoshindikana!!!
Yote yanawezekana kwake yeye aaminie.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Kwa sababu tumesimama upande wa haki tutashinda. Neno la Mungu linasema punje isipodondoka kwenye mchanga kufa na kuoza, haiwezi kuzaa kitu. Mwakyembe anaweza kuwa punje
 
Ngwini huyo hawezi elewa Po ina oxidation state zaidi ya moja,japokuwa atomic mass yake ni 209 lakn inakuwa stable when it appears as Po-210
sijaandika hiyo kishabiki najua wengi hapa hawajui kwani inaitwa POLONIUM-210. Rejea somo la kemia ukiwa form two, atomic number for polonium is 84 while its mass number is 210 and as long as polonium is unstable element its is written as POLONIUM-210.
 
Nafikiri ndugu ya unahitaji kujua Neno la Mungu linasemaje kuhusu maswala ya siasa, maana hata Daudi alikua ni mwanasiasa, Sauli na wengine wengi. Tuanaacha siasa inaendeshwa na wasiomjua Mungu ndio maana mambo kama haya yanatokea, laiti kama watu wa Mungu tungejua kuwa siasa ni nini Kibiblia tusingeachia shetani azidi kutuongoza. Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.

Tuwe wazi siasa za wanadamu zinabase kwenye ulokole, au upagani! Zinafuata Biblia, au hirizi! Zinampendeza Yehova, au shetani!
 
Dalili zote alizonazo Mwakyembe zinaonyesha aliwekewa sumu ya mionzi ijulikanayo kama THALIUM-201. Vilevile yawezekana akawa alichanganyiwa kwa kiasi kidogo sana na POLONIUM-210. Mojawapo ya dalili hizo ni mwili kuota magamba na ukurutu na kunyonyoka kwa nyele ambazo zote Mwakyembe zimejionyesha. Dalili zimegawanyika katika makundi mawili kama zilipo hapa chini.

Neurology

  • Signs take 2 to 4 days to develop with the severity dependent upon the level of poisoning.
  • There is peripheral neuropathy with marked leg and foot tenderness and paraesthesia. Weakness may be difficult to elicit because of pain and it tends to be mild.
  • With severe neurological involvement, respiratory paralysis can be fatal at the end of a week.
  • Examination of the eyes and face may show loss of the lateral half of the eyebrows, drooping eyelids, facial nerve palsy, ophthalmoplegia.
  • Specialist examination is required with slit lamp assessment and documentation of colour vision.
  • Keratitis and corneal opacities occasionally occur.
Dermatology
  • Hair loss, rashes and palmar erythema take 2 to 4 weeks to appear.
  • There is atrophy of the hair follicles. Alopecia is so characteristic that it should prompt suspicion. The hair loss primarily affects the scalp, temporal parts of the eyebrows, the eyelashes, and the limbs. Less often, the axillary regions are affected.
  • Early signs are not specific and include scaling of the palms and soles and acneform lesions of the face.
  • One month after the poisoning, Mees' lines (transverse white lines on the nails) appear in the nail plate. They also occur in arsenic poisoning and renal failure.
  • Other findings may include crusted eczematous lesions, hypohidrosis, anhidrosis, palmar erythema, painful glossitis with redness of the tip of the tongue, stomatitis and hair discoloration.
  • There is a characteristic band-like dark pigmentation of the scalp that develops within 4 days.
MATIBABU

Mtu akilishwa kiasi kikubwa cha Thaliium-201 anaweza kutibiwa kwa kupewa PRUSSIAN BLUE ambayo kwa kitaalamu inapunguza "half life" ya hiyo mionzi kwa 50%.

TATIZO LINAKUJA PALE AMBAPO MTU AMEPEWA POLONIUM-210 KWA KWELI HAINA TIBA. VILEVILE INATEGEMEANA NA KIASI AMBACHO MTU AMEPEWA KWANI TATIZO KUBWA NI KUWA POLIUNM-210 HUENDA KUJIBANZA KATIKA SIFONGO ZA MIFUPA (BONE MARROW) NA KUZIHARIBU KABISA HIVYO MTU KUPOTEZA UWEZO WA KUZALISHA CHEMBECHEMBE HAI NYEKUNDU (RED BLOOD CELLS).

Alpha particles emitted from polonium-210 can disrupt cell structures, fragment nuclei, damage DNA, and cause cell death.

Takwimu zinaonyesha kuwa Russia ndiyo nchi
inayozalisha kwa wingi Polium-210 kiasi kipatacho gramu 100 kwa mwaka kwa matumizi ya kuzalishia Umeme.

Kama inazalishwa kwa wingi ni gramu 100 tu kwa mwaka thamani yake itakuwa kubwa sana kiasi sina uhakika kama tunaweza kuimudu.

Hayo ni mauchawi tu ya Sumbawanga.
 
Hizo propaganda zenu hazitafanya kitu tunasonga mbele.

Watu wengine bana, kutwa kujifanya CHADEMA na kufurahia "mapambano" kumbe upande mwingine wanafukuzia tonge
Kutoka kwa fisadi papa wa CCM, so sickening!!!...
 
Kama inazalishwa kwa wingi ni gramu 100 tu kwa mwaka thamani yake itakuwa kubwa sana kiasi sina uhakika kama tunaweza kuimudu.

Hayo ni mauchawi tu ya Sumbawanga.

Du hii ni kali yaani sawa na glasi 4 za maji! Aaah ni utomvu wa mawe? Ila kwa magamba wanaweza kutumia gharama yoyote ile ilimradi malengo yao yatimie! Dawa yao iko jikoni.
 
Kama inazalishwa kwa wingi ni gramu 100 tu kwa mwaka thamani yake itakuwa kubwa sana kiasi sina uhakika kama tunaweza kuimudu.

Hayo ni mauchawi tu ya Sumbawanga.

kwa takwimu nilizonazo USA inanunua kiasi cha gramu moja ( 1g) kwa mwaka kwa matumizi yake. wewe fikiria ukiwa na polonium-210 sawasawa na golori ya peni tukichanganyiwa kwenye chai inauwezo wa kua watu 500.
 
Dalili zote alizonazo Mwakyembe zinaonyesha aliwekewa sumu ya mionzi ijulikanayo kama THALIUM-201. Vilevile yawezekana akawa alichanganyiwa kwa kiasi kidogo sana na POLONIUM-210. Mojawapo ya dalili hizo ni mwili kuota magamba na ukurutu na kunyonyoka kwa nyele ambazo zote Mwakyembe zimejionyesha. Dalili zimegawanyika katika makundi mawili kama zilipo hapa chini.

MATIBABU

Mtu akilishwa kiasi kikubwa cha Thaliium-201 anaweza kutibiwa kwa kupewa PRUSSIAN BLUE ambayo kwa kitaalamu inapunguza "half life" ya hiyo mionzi kwa 50%.

TATIZO LINAKUJA PALE AMBAPO MTU AMEPEWA POLONIUM-210 KWA KWELI HAINA TIBA. VILEVILE INATEGEMEANA NA KIASI AMBACHO MTU AMEPEWA KWANI TATIZO KUBWA NI KUWA POLIUNM-210 HUENDA KUJIBANZA KATIKA SIFONGO ZA MIFUPA (BONE MARROW) NA KUZIHARIBU KABISA HIVYO MTU KUPOTEZA UWEZO WA KUZALISHA CHEMBECHEMBE HAI NYEKUNDU (RED BLOOD CELLS).

Alpha particles emitted from polonium-210 can disrupt cell structures, fragment nuclei, damage DNA, and cause cell death.

Mkuu asante sana kwa uchambuzi wako.

Mie nina swali kidogo, kwanini unahisi huu ugonjwa sio Psoriasis?
 
Siku mmoja kati ya hawa, JK, EL na RA atakapokufa kwa njia yoyote au kuuawa, hiyo ndo itakuwa siku yangu ya kujifunza kunywa bia!
 
kwa takwimu nilizonazo USA inanunua kiasi cha gramu moja ( 1g) kwa mwaka kwa matumizi yake. wewe fikiria ukiwa na polonium-210 sawasawa na golori ya peni tukichanganyiwa kwenye chai inauwezo wa kua watu 500.

Kwahio itimisho ni kwamba Polonium-210 haijatumika kwa Mwakyembe, kama wangetumia hasingekuwa hai mpaka leo au sio mkuu?
 
Mkuu asante sana kwa uchambuzi wako.

Mie nina swali kidogo, kwanini unahisi huu ugonjwa sio Psoriasis?

Tatizo moja ukipewa polonium-210 kama sumu siyo rahisi kuitambua hata maabara za kisasa duniani haziwezi kufanya hivyo, sababu yake ni kuwa "alpha particles radiation" itokanayo na polonium-210 haiwezi kupenya ngozi ya binadamu.

Nadhani wewe unajua ukienda hospitali daktari anakuangalia then anakwambia ok kwa vile una ukurutu basi hii itakuwa damu chafu, kumbe tatizo siyo. kinachofanya ugonjwa wa mwakyembe kutokuwa Psoriasis ni kule nywele kunyonyoka ambayo siyo tabia ya mgonjwa mwenye Psoriasis.
 
Kwa sababu tumesimama upande wa haki tutashinda. Neno la Mungu linasema punje isipodondoka kwenye mchanga kufa na kuoza, haiwezi kuzaa kitu. Mwakyembe anaweza kuwa punje

Punje anayozungumzia Yesu kwenye hiyo parable ni neno la Mungu, wala habahatishi, Jesus is sure with what He says in that particular parable.
 
Kwa kweli may every curse that exist in the world be upon anyone who was involved,it hurts,
 
amevipiga vita vilivyo vizuri, mwendo ameumaliza, na sasa amevikwa taji!!! rostam, lowasa, chenge, makamba, kikwete, mkono, ni nani kati yenu ataishi milele?
 
Back
Top Bottom