zimmerman
JF-Expert Member
- Feb 17, 2011
- 1,628
- 3,157
Hivi kama ni kweli Mwakyembe amepewa radioctives na maagent wa TISS, ina maana vyombo vya serikali vya usalama vimetumika kuwaangamiza raia wake yenyewe? Mungu hawezi kuacha huu uovu upite bila adhabu inayostahili. Pole sana Dr. Mwakyembe, ugua pole, Mungu atakulipizia kisasi na kisasi cha Bwana nani awezaye kustahimili?