Mwakyembe anasikitisha! Walaaniwe wanaohusika!

jamani tuwekeeni picha, wengine ni kama yakobo wakuu, tuwekeeni picha sio mnaamsha mori zetu then mnakaa kimya
 
ninachojua huyu bwana harudi kama alivyokwenda.......ana bahati maana hata ile dawa ya meno aliyopelekewa kama zawadi huko india hakuitumia maana tungekwa tunaongea mengine kabisa mda huu.....shukrani ziwaendee vjana wanaomtakia memo waliofikisha habari kabala box la dawa hiyo halijafika
 
kwa kwel inauma sana km mtu unaweza kuutendea mti mbich iv je mkavu je dk tunakuombea urudi salama mungu ukutie nguvu
 
Kweli inauma sana, ila kama kuna wanafamilia wa Mwakyembe anasoma hii comment naomba muwe mnasoma zaburi 35 kila siku mpaka atakapopona, zaburi ya 46, na 109, hii ni kwa ajili ya mgonjwa na pia ni njia nzuri ya kuwashughulikia maadui zenu. Ingekuwa vizuri kama mke wake angekuwa anasoma.

Mgonjwa mwenyewe awe anasema haya maneno kila siku Maombolezo 3:22-23, Yakobo 5:15-16, Zaburi 20 yote, Awe na moyo wa kusamehe yote, hakika Mungu atauokoa uhai wake na kaburi. Maana imeandikwa katika Marko 16:18b hata wakinywa kitu cha kufisha hakitawadhuru kabisa.

I hope anybody who is closer to this family will take this very seriouse. Hulituma neno lake lipate kutuponya na kututoa katika maangamizi. I will keep praying for him
Tunashukuru kwa maneno yako mazuri ubarikiwe. Nawafahamu hao wabunge kwa karibu nitasoma na mimi
 
Jamani mi nina imani kuwa wakati akiendelea na matibabu india ndugu,familia na marafiki na sisi wote tunaompenda tumwombee na ndugu wampeleke nigeria kwa mtumishi wa mungu t.b joshua hakuna kinachoshindikana kwa yesu!!

Kama familia,ndugu na marafiki wanapitia kwenye huu mtanda plse plse plse take my advice naomba wampeleke kwa mtumishi wa mungu atapona na kurudi kama kawaida narudia hakuna lisilowezekana kwa mungu.
 
Kwa kweli inasikitisha sana...... Napigilia msumari kabisa WALAANIKE. Mwakyembe alisema atatoa siri nzito anasubiri nini, anasubiri lini!!.
 
Selrikali iliyotayari kumwaga damu, hata useme mara mia haitasikia!
Wamelazimisha mswaada wa katiba, itakuwa roho ya mwakyembe?
 
Jamani, Mungu wetu aliwaokoa ,MEISHARK,shedrak na Abenego kwenye tanuru la moto.Aliwaponya wenye ukoma, Na Yesu alimfanya Petro akatembea juu ya Maji. Kwa rehema zake Mwakyembe atapona, Haijalishi ni saangapi,Damu ya Yesu ilichukua magonjwa yetu. Sisi tuendelle kumwombea na kuamini uweza wa Mungu.AMEN!
 
Jamani mi nina imani kuwa wakati akiendelea na matibabu india ndugu,familia na marafiki na sisi wote tunaompenda tumwombee na ndugu wampeleke nigeria kwa mtumishi wa mungu t.b joshua hakuna kinachoshindikana kwa yesu!!

Kama familia,ndugu na marafiki wanapitia kwenye huu mtanda plse plse plse take my advice naomba wampeleke kwa mtumishi wa mungu atapona na kurudi kama kawaida narudia hakuna lisilowezekana kwa mungu.
Huko huko kwa Joshua na Lowassa anaenda kuombewa
 
Wewe au Ninyi mliohusika na jambo hili fahamuni hamtaishi milele.

Makyembe pia ni wakati mzuri wa kutoa ile siri nzito uliyosema utatujulisha.
 
Hii ni DHAMBI ambayo katu WANYAKYUSA hawatoisamehe CCM na JK kama chochote kitawatokea MWAKYEMBE na RAIS wa Wanyakyusa Prof.MWANDOSYA.Mungu awapiganie warudi salama.

Kamwe watu wa Mbeya hatuatakuja kusahau, ujumbe huu tutawarisisha na vizazi vyetu. Na huyu jamaa ambaye yuko busy makanisani kusafisha jina na kutaka kuwa rais, hata akiwa rais kamwe hatakuwa rais mkoani Mbeya.

Utawala wake utaishia maeneo ya Igawa au Ilembura kabisa. Wala yeye hatapigwa mawe kama swaiba wake alichokipata Chunya. Na hii ndio Tanzania inayojengwa na awamu ya nne. If the end defines the means of your dream, lets see Mr Mamvi;... here Go!
 
Mola atapambana na watesi wake!

Kila mara nawakumbusha kwamba Yehova Mungu hashughuliki wala kujihusisha na masuala ya kipagani kama siasa za wanadamu! Kwenye siasa ni uchawi, wizi, ufisadi, fitna, rushwa, hirizi, n.k., ndivyo vinavyoleta mafanikio.
 
Asante kwa kuchukua hatua, hakika Mungu anaweza kama tukimkumbusha neno lae alisema atafanya
 
Nafikiri ndugu ya unahitaji kujua Neno la Mungu linasemaje kuhusu maswala ya siasa, maana hata Daudi alikua ni mwanasiasa, Sauli na wengine wengi. Tuanaacha siasa inaendeshwa na wasiomjua Mungu ndio maana mambo kama haya yanatokea, laiti kama watu wa Mungu tungejua kuwa siasa ni nini Kibiblia tusingeachia shetani azidi kutuongoza.

Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.
 
Huko huko kwa Joshua na Lowassa anaenda kuombewa

NI KWELI ILA HAIJALISHI NGUDU YANGU MUNGU WETU HANA UBAGUZI,HAWAI AMA KUCHELEWA REHEMA ZAKE NI KWA KILA MTU BILA KUJALI ILA NI KWA WOTE WAMCHAO NA KUMWAMINI KATIKA KWELI!

bado nasisitiza hakuna kilichowahi kushindika kwa Mungu,hakuna kinachoshindikana na hakuna kitachoshindikana!!!
 
Back
Top Bottom