Mwaka 2024 natangaza rasmi vita kali na members wa wanafiki kwa Rais Samia

Nigrastratatract nerve

JF-Expert Member
Sep 4, 2019
1,399
3,919
Mwaka 2024 naingia rasimi na maadui wa serikali ya Tanzania akiwemo Choice variable, Lucas mwashambwa na wengine wanaompamba Samia kinafiki huku wakijua kuwa Hali ya kisiasa kwa Samia ni ngumu mitaani kuwahi kutokea katika siasa za Tanzania

Hawa jamaaa wanasifia ujinga ujinga na unafiki mtupu huku wakijua kuwa gharama za maisha kwa wananchi zimekuwa ghali Sana zikiambana na uduni wa huduma za kijamii kama umeme kukatika katika hovyo maji kukatika katika hovyo rushwa imekithiri mitaani kupanda kwa nauli Mara dufu kupanda mafuta na bidhaa mbalimbali uzembe serikalini na kukwama kwa miradi mbalimbali.

TunAtaka Taifa la watu wakweli nA si wanafiki kupindukia wanaompaka mafuta mwenyekiti wa CCM kwa mgongo wa chupa.
 
Hakuna wanafiki kama Watanzania
Hivyo hao WA mtaani unaowasemea wenzio washaandaa kula ya ndio.
Achana na wajumbe.

Ila nitajie zama zlizosema kweli tu bila kudanganya?
 
Mwaka 2024 naingia rasimi na maadui wa serikali ya Tanzania akiwemo Choice variable, Lucas mwashambwa na wengine wanaompamba Samia kinafiki huku wakijua kuwa Hali ya kisiasa kwa Samia ni ngumu mitaani kuwahi kutokea katika siasa za Tanzania

Hawa jamaaa wanasifia ujinga ujinga na unafiki mtupu huku wakijua kuwa gharama za maisha kwa wananchi zimekuwa ghali Sana zikiambana na uduni wa huduma za kijamii kama umeme kukatika katika hovyo maji kukatika katika hovyo rushwa imekithiri mitaani kupanda kwa nauli Mara dufu kupanda mafuta na bidhaa mbalimbali uzembe serikalini na kukwama kwa miradi mbalimbali.

TunAtaka Taifa la watu wakweli nA si wanafiki kupindukia wanaompaka mafuta mwenyekiti wa CCM kwa mgongo wa chupa
hiyo mbona ni vita ya wivu mkuu
 
Umeandika vyema sana, nimependa hapo uliposema tunataka Taifa la watu wakweli na si wanafiki!

Shida ni moja tu mkuu, unafiki is very relative. Utakumbushwa mada zako enzi za Jiwe utashindwa kujua tofauti ya unafiki na uongo kwa mtu umpendae
 
Vita ya chawa kutoka kambi yatima ya chato na chawa kutoka kwa bibi mzururaji wa kizimkazi.

Mnaonaje mngeenda mtafute suluhu kwenye vikao vyenu vya Lumumba kuliko kutuletea vita zisizo na tija humu kisa mnagombea mgao wa buku saba.
 
wanafiki lazima wakome na wwaaache rasimi kulitumia vibaya Jina la Samia wanajipendekeza kupewa chochote hawan mbele wala nyuma hasa Lucas Mwashambwa amekuwa mnafiki kupitiliza na vijimtu hivi visivyo na kazi vinasifia upumbavu pumbavu hivi ili vipate kula tunaaamuru watafute kazi ya kufanya unafiki haulipi
 
nimecheka had machozi wallah.
 
Mbege za Rombo wanachanganya na gongo siku hizi, hivi pale baa ya Massawe hajaanza kupiga kidisco mshenzi chake? Hapa home panaboa kiaina
 
Kwanza hata hustajili kujibiwa kwa muda huu maana nahisi umekesha na kulala bar na mpaka muda huu bado pombe ipo kichwani mwako. Kaa kwa kutulia .

Halafu koma kabisa kumsema vibaya mh Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania mama wa shoka, jasiri muongoza njia, shujaa wa Afrika,simba wa nyika,nuru ya wanyonge,mtetezi wa wanyonge,mama mchapa kazi, komandoo wa vita,chuma cha reli.nyota ya matumaini na fahari ya Afrika aliyekuja kama nuru katikati ya giza na tumaini katikati ya kukata Tamaa
 
ushenzi na sifa za kipumbsvu zenu hizo una mwisho wewe chawa tafuta kazi nyingine za kufanya tunakuambia
 
Mwaka 2024 naingia rasimi na maadui wa serikali ya Tanzania akiwemo Choice variable, Lucas mwashambwa na wengine wanaompamba Samia kinafiki huku wakijua kuwa Hali ya kisiasa kwa Samia ni ngumu mitaani kuwahi kutokea katika siasa za Tanzania

Hawa jamaaa wanasifia ujinga ujinga na unafiki mtupu huku wakijua kuwa gharama za maisha kwa wananchi zimekuwa ghali Sana zikiambana na uduni wa huduma za kijamii kama umeme kukatika katika hovyo maji kukatika katika hovyo rushwa imekithiri mitaani kupanda kwa nauli Mara dufu kupanda mafuta na bidhaa mbalimbali uzembe serikalini na kukwama kwa miradi mbalimbali.

TunAtaka Taifa la watu wakweli nA si wanafiki kupindukia wanaompaka mafuta mwenyekiti wa CCM kwa mgongo wa chupa
SSH ni Rais wetu 2025 - 2030.
Usipohiari hama nchi
 
Back
Top Bottom