ENZO
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 4,242
- 1,736
Si wa mikoko10 ndio kabisa ukimpelekea mtu maji anakwambia aaah basi bwana nimekinga ya mvua labda kesho we acha mvua hatuipendi wengi
Kumbe tupo wengi!!lol
MP.
Si wa mikoko10 ndio kabisa ukimpelekea mtu maji anakwambia aaah basi bwana nimekinga ya mvua labda kesho we acha mvua hatuipendi wengi
Kwani bd tu hujaenda....watu tuko majumbani
Kwani bd tu hujaenda....watu tuko majumbani
Mh! we unafanya shughuli gani?! nyumbani sahizi?!!!!
MP.
Kwanza unaweza kuta boss ndio kawa wa kwanza kupotea kimyakimya tehhahahahaaa...mmesign owt mapemaaa...
hii mvua kiboko...
maboss leo wanakazi...
maana anaweza akajikuta kabaki mwenyewe ofcn!
Kazi sio mpaka ofcn...pia kuna wengine chini ofice juu nyumba ya kuishi...teh hujalijua hilo?
Yan nashuka najipa shughuli faster then naendelea na kazi
Nani anafurahia mvua ya leo Dar?!I'm NOT!!
Yani hali ya hewa inakua nzuri maana joto linapungua sema natamani ingenyesha siku ambayo sina mizunguko nitulie zangu ndani.Au ingenyesha kidogo tu kama jana....
Teh wote wanajamiiKumbe tupo na wahindi humu!!
MP.
Hivi kwa nini mvua ikinyesha dar foleni pia inaongezeka.
worry not mpendwa,i know what you mean,next time ikinyesha just tap bishanga,a man of all seasons!Nani anafurahia mvua ya leo Dar?!I'm NOT!!
Yani hali ya hewa inakua nzuri maana joto linapungua sema natamani ingenyesha siku ambayo sina mizunguko nitulie zangu ndani.Au ingenyesha kidogo tu kama jana....
rudini nyumbani,raha zimetuzidi jamani,we need someone to share it with!Poleni kwa Mvua, sie tulioko huku Magharibi ya Mbali ni Baridi ya Hatariiii.
I miss the rain... huku mlali hakunyeshi! na ikinyesha ni manyunyu tu!
So much! a heavy rain, with thunder (no wind)....You miss the rain?
So much! a heavy rain, with thunder (no wind)....
You grew up in a funny country.When I was little I used to sing
rain rain, go away
come back/again another day
little Arthur/Johny wants to play