Mvua inayonyesha inatuongezea majaribu

GreenLight

JF-Expert Member
Oct 27, 2023
303
537
Ni leo tena. Nipo kwa dala dala nimekaa na binti tunaelekea njia moja. Nimekaa upande wa dirishani yeye karibu upande wa kutokea.

Basi bwana mvua inanyesha na imetupapasa kwa kiasi kidogo japo sio sana. Miili yetu imechokozwa na hali ya ubaridi na unyevu vyevu wa mvua iliyotupapasa. Safari inaendelea bwana wee tumebanana na huyu bidada ni mzuri kwa kiasi chake. Ile kuweka mikono kuikunja nikae vizuri kwa utulivu.

Mkono ikagusana na upende mmoja wa mbavu zake. Aisee joto nililopata mle likafanya nisiutoe mkono wangu. Kumbe na yeye amehisi joto ikawa kila mtu anafurahia hiki kitendo.

Nikisogeza mkono naona kama ana mind kiana flani. Nikaona isiwe shida mkono ubakie kwenye mbavu zake. Lahaula najikuta nawaza kungonoka pale pale.

Nawaza nichukue namba niweke sound mida mibovu. Ghafla akili zangu zinaniambia acha ufala utatamani vingapi toka kwa daladala, nikatoka bwana.

Ni mvua tu ya neema hii
 
Back
Top Bottom