Mvua...

Nani anafurahia mvua ya leo Dar?!I'm NOT!!

Yani hali ya hewa inakua nzuri maana joto linapungua sema natamani ingenyesha siku ambayo sina mizunguko nitulie zangu ndani.Au ingenyesha kidogo tu kama jana....

Lizzy...
Kwanza habari yako.. Za siku? Uko poa? Long time...!
Haya naomba nikuswalike..Umeenda bongoo..au umefuatilia vyombo vya habari juu ya hali ya hewa?
 
Hii mvua gani? Au tungo Tata? Maana kila siku misamiati inakua hebu tujuzaneni jamani ili tupate cha kuchangia
 
Nani anafurahia mvua ya leo Dar?!I'm NOT!!

Yani hali ya hewa inakua nzuri maana joto linapungua sema natamani ingenyesha siku ambayo sina mizunguko nitulie zangu ndani.Au ingenyesha kidogo tu kama jana....
worry not mpendwa,i know what you mean,next time ikinyesha just tap bishanga,a man of all seasons!
 
Mvua inaponyesha, ardhi inapoa. Ardhi inapo poa nayo inapoza hewa. Hewa inapo poa inaburudisha. Unapo burudika, unakuwa na furaha.

Yataka utafakari kwa makini ndipo uzijue neema za muumba wetu.
 
When I was little I used to sing

rain rain, go away
come back/again another day
little Arthur/Johny wants to play
You grew up in a funny country.
Sisi huku tunaimba mvua njo, katarina usije (or something like that)
 
Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom