Muuaji wa Mwangosi afukuzwa kazi,IGP Mwema atua Iringa leo kwa Chopa

Kwani kamati ya ***ni imeishamaliza kazi waliyopewa na waziri wa kipekee tz.??
 
Kama ndo hivyo basi huo utakuwa UTOTO wa mwema; sasa hapo atusaidie kujibu yafuatayo:
  1. kwanza atutajie na kuwajibisha wale poliCCM wote wanaoonekana kwenye picha mbali mbali wakitoa kipigo kwa marehemu
  2. amwajibishe poliCCM aliyejitokeza na kusema alikuwa na bom.
  3. atwambie kwann amekuwa na haraka kufatilia hili suala na kuacha mauaji mengine bila kufanyiwa kazi,
 
irrelevant context

kumbuka yule askari nimaskini wa kutupwa, hana upeo wala nini... na si ajabu katika kabati lake, ukiondoa ile yunifomu, hana hata nguo moja iliyo nzuri kama zile yunifomu wanazotoa china

Kazi nyingine hizi nimeanza kampeni ya kuhamasisha watoto wangu waziogope. Katika upeo wake mdogo hakujua kama inawezekana akaishia kukamatwa kwa mauaji pamoja na kwamba alikuwa anatii amri tu.
 
No connection na point yangu. Stalin alikuwa Atheist ambaye aliongoza Communist Russia ambayo dini ilikuwa marufuku, haijalishi alisoma wapi. Mie naongelea mambo ya trigger happy policemen.

Point ni udikteta, huo udini tumekuzoea, ni jadi yako.

Soma shule zilizomfundisha u atheist, nimekuwekea hapo.
 
mambo yanayofanyika katika hii nchi yanatia sana hasira, mtu ameuwa, na anajulikana ni kwa nn asifikishwe mahakamani naye apate hukumu yake , lkn wanaunda tume mpk majibu yatoke ni lini/ na Hivi huyo Said mwema yupo kweli au???? maana nafikiri ningepewa dakika tano tu za kuwa rais ningewauwa mafisadi wooooote! :rant:
 
Back
Top Bottom