Igp mwema na rpc wa iringa wahusika wakuu wa mauwaji ya mwandishi mwangosi

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,735
5,003
Baada ya kuona mkanda wa mauwaji ya mwangosi sidhani kama rpc wa iringa anakwepeka kwa nini asinyongwe...natumaini hata nyeerere analia uko aliko aliowaachia nchi hii..sasa basi nakuja kwa afande igp mwema hiiv ni nani anatoa ruksa ya kuhamisha polisi kutoka mkoa mwingine kwenda mwingine kama ni wewe kwa nini usihusike na mauwaji haya kwa kukubali kutoa polisi dodoma na kuwapeleka iringa wakiwa na gari la maji ya kuwasha

samahani nasikia mkono unatoa machozi naamini umesoma mwema na najiuliza kwa nini uko madarakani mpaka sasa
 
Back
Top Bottom