Kichwa Ngumu
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,726
- 312
Haaa Haaaaaaaa haaaaaaaaa iseee kweliMkono wa mjinga huandika chochote.
BarcaNani kashinda kati ya man na barca?

Mambo yanazidi kuwa magumu kwa bwana mbowe kila mda unaposogea ndani ya chadema
1.anajilaumu mwaka jana kumpa nafasi dr slaa mwaka jana kugombea urais kwani ameiua ndoto yake kwani hata 2015 wanachadema wengi wanataka agombee slaa na si mbowe amefunikwa kwa umaarufu
2.uchaguzi wa nafasi ya mwenyekiti kwani zitto kabwe 2009 aliambiwa asubiri 2013 je watamruhusu agombee? Pia wengine wanashauri nafasi ya uenyekiti apewe dr.slaa
3.mbaya zaidi mpaka sasa wana chadema wa 5 wametangaza kugombea urais kupitia chadema 2015 mbowe ambaye sasaivi anajitaidi kutafuta umaarufu ndio mana akaamua hadi kuwa kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni ili ajijenge kisiasa. Dr Slaa pia kuna Tundu Lissu, Zitto Kabwe na Prof Baregu.
Source: Hoja Newspaper
Chanzo chenyewd gazeti uchwara la HOJA!Hawa si ndio wanaogeuza maoni binafsi kuwa habari?Mambo yanazidi kuwa magumu kwa bwana mbowe kila mda unaposogea ndani ya chadema
1.anajilaumu mwaka jana kumpa nafasi dr slaa mwaka jana kugombea urais kwani ameiua ndoto yake kwani hata 2015 wanachadema wengi wanataka agombee slaa na si mbowe amefunikwa kwa umaarufu
2.uchaguzi wa nafasi ya mwenyekiti kwani zitto kabwe 2009 aliambiwa asubiri 2013 je watamruhusu agombee? Pia wengine wanashauri nafasi ya uenyekiti apewe dr.slaa
3.mbaya zaidi mpaka sasa wana chadema wa 5 wametangaza kugombea urais kupitia chadema 2015 mbowe ambaye sasaivi anajitaidi kutafuta umaarufu ndio mana akaamua hadi kuwa kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni ili ajijenge kisiasa. Dr Slaa pia kuna Tundu Lissu, Zitto Kabwe na Prof Baregu.
Source: Hoja Newspaper
mambo yanazidi kuwa magumu kwa bwana mbowe kila mda unaposogea ndani ya chadema
1.anajilaumu mwaka jana kumpa nafasi dr slaa mwaka jana kugombea urais kwani ameiua ndoto yake kwani hata 2015 wanachadema wengi wanataka agombee slaa na si mbowe amefunikwa kwa umaarufu
2.uchaguzi wa nafasi ya mwenyekiti kwani zitto kabwe 2009 aliambiwa asubiri 2013 je watamruhusu agombee? Pia wengine wanashauri nafasi ya uenyekiti apewe dr.slaa
3.mbaya zaidi mpaka sasa wana chadema wa 5 wametangaza kugombea urais kupitia chadema 2015 mbowe ambaye sasaivi anajitaidi kutafuta umaarufu ndio mana akaamua hadi kuwa kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni ili ajijenge kisiasa. Dr slaa pia kuna tundu lissu, zitto kabwe na prof baregu.
Source: Hoja newspaper
Mambo yanazidi kuwa magumu kwa bwana mbowe kila mda unaposogea ndani ya chadema
1.anajilaumu mwaka jana kumpa nafasi dr slaa mwaka jana kugombea urais kwani ameiua ndoto yake kwani hata 2015 wanachadema wengi wanataka agombee slaa na si mbowe amefunikwa kwa umaarufu
2.uchaguzi wa nafasi ya mwenyekiti kwani zitto kabwe 2009 aliambiwa asubiri 2013 je watamruhusu agombee? Pia wengine wanashauri nafasi ya uenyekiti apewe dr.slaa
3.mbaya zaidi mpaka sasa wana chadema wa 5 wametangaza kugombea urais kupitia chadema 2015 mbowe ambaye sasaivi anajitaidi kutafuta umaarufu ndio mana akaamua hadi kuwa kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni ili ajijenge kisiasa. Dr Slaa pia kuna Tundu Lissu, Zitto Kabwe na Prof Baregu.
Source: Hoja Newspaper

Mambo yanazidi kuwa magumu kwa bwana mbowe kila mda unaposogea ndani ya chadema

1.anajilaumu mwaka jana kumpa nafasi dr slaa mwaka jana kugombea urais kwani ameiua ndoto yake kwani hata 2015 wanachadema wengi wanataka agombee slaa na si mbowe amefunikwa kwa umaarufu

2.uchaguzi wa nafasi ya mwenyekiti kwani zitto kabwe 2009 aliambiwa asubiri 2013 je watamruhusu agombee? Pia wengine wanashauri nafasi ya uenyekiti apewe dr.slaa

3.mbaya zaidi mpaka sasa wana chadema wa 5 wametangaza kugombea urais kupitia chadema 2015 mbowe ambaye sasaivi anajitaidi kutafuta umaarufu ndio mana akaamua hadi kuwa kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni ili ajijenge kisiasa. Dr Slaa pia kuna Tundu Lissu, Zitto Kabwe na Prof Baregu.

Source: Hoja Newspaper
Mambo yanazidi kuwa magumu kwa bwana mbowe kila mda unaposogea ndani ya chadema
1.anajilaumu mwaka jana kumpa nafasi dr slaa mwaka jana kugombea urais kwani ameiua ndoto yake kwani hata 2015 wanachadema wengi wanataka agombee slaa na si mbowe amefunikwa kwa umaarufu
2.uchaguzi wa nafasi ya mwenyekiti kwani zitto kabwe 2009 aliambiwa asubiri 2013 je watamruhusu agombee? Pia wengine wanashauri nafasi ya uenyekiti apewe dr.slaa
3.mbaya zaidi mpaka sasa wana chadema wa 5 wametangaza kugombea urais kupitia chadema 2015 mbowe ambaye sasaivi anajitaidi kutafuta umaarufu ndio mana akaamua hadi kuwa kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni ili ajijenge kisiasa. Dr Slaa pia kuna Tundu Lissu, Zitto Kabwe na Prof Baregu.
Source: Hoja Newspaper
Maumivu ya kichwa huanza polepole
Crap crap this,magambazzzzz.com hamlali hamtulii mtafikiri mmekalia moto!!!!siku kwenu haiwi siku mpaka muitaje Chadema
Nani kashinda kati ya man na barca?

Another PASUA KICHWA IN JF
hii kali, duh,wewe mbunifu sanaUVCCM,Umoja wa Virusi Chanzo Chake Mafisadi,
Hakuna hoja hapo, Mbowe akishirikiana na Dr Sla ameimarisha cdm kwa muda ambao amekuwa mwenyekiti wa chama na kama lengo lake lilikuwa urais na umaarufu angegombea yeye 2010 badala ya Dr, lakini kwasababu chama kinaongozwa kisayansi walipopokea ripoti ya kitaalam iliyoainisha nani anafaa kuwa mgombea yeye na wana cdm wote waliikubali na ndipo Dr akapewa nafasi ya kugombea urais. Kumbuka hata 2015 chama kitafanya mambo kitaalam zaidi.