Mustakabali wa Mbowe na CHADEMA wazidi kuwa mgumu

CCM kazi wanayofanya ni sawa na ile ni kazi aliyoifanya fisi alipoamua kutembea nyuma ya mwanadamu ili aokote mkono wake utakapodondoka. Kamwe CDM haiwezi kufa kwa jinsi wanavyofikiri CCM.Kama CCM wanasubiri kifo cha CDM ili wapate nafuu basi subirini maumivu.

Mambo yanazidi kuwa magumu kwa bwana mbowe kila mda unaposogea ndani ya chadema
1.anajilaumu mwaka jana kumpa nafasi dr slaa mwaka jana kugombea urais kwani ameiua ndoto yake kwani hata 2015 wanachadema wengi wanataka agombee slaa na si mbowe amefunikwa kwa umaarufu
2.uchaguzi wa nafasi ya mwenyekiti kwani zitto kabwe 2009 aliambiwa asubiri 2013 je watamruhusu agombee? Pia wengine wanashauri nafasi ya uenyekiti apewe dr.slaa
3.mbaya zaidi mpaka sasa wana chadema wa 5 wametangaza kugombea urais kupitia chadema 2015 mbowe ambaye sasaivi anajitaidi kutafuta umaarufu ndio mana akaamua hadi kuwa kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni ili ajijenge kisiasa. Dr Slaa pia kuna Tundu Lissu, Zitto Kabwe na Prof Baregu.

Source: Hoja Newspaper

Sidhani kama CHADEMA wana akili mbovu kiasi hicho kugombea uraisi sasa. Wengine ni wazi hawatakaa wawe maraisi kwa leo/miaka hii. Nadhani dhamira yao iwe kukijenga chama, Dr. Slaa ni kurunzi yao kwa sasa. WAKILEWA MADARAKA NA MATUMAINI YA KILA MMOJA KUWA RAISI BASI, KAMA ALIVYOSEMA NYERERE, WATANZANIA WATAWAPA HUKUMU INAYOSTAHILI

Mambo yanazidi kuwa magumu kwa bwana mbowe kila mda unaposogea ndani ya chadema
1.anajilaumu mwaka jana kumpa nafasi dr slaa mwaka jana kugombea urais kwani ameiua ndoto yake kwani hata 2015 wanachadema wengi wanataka agombee slaa na si mbowe amefunikwa kwa umaarufu
2.uchaguzi wa nafasi ya mwenyekiti kwani zitto kabwe 2009 aliambiwa asubiri 2013 je watamruhusu agombee? Pia wengine wanashauri nafasi ya uenyekiti apewe dr.slaa
3.mbaya zaidi mpaka sasa wana chadema wa 5 wametangaza kugombea urais kupitia chadema 2015 mbowe ambaye sasaivi anajitaidi kutafuta umaarufu ndio mana akaamua hadi kuwa kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni ili ajijenge kisiasa. Dr Slaa pia kuna Tundu Lissu, Zitto Kabwe na Prof Baregu.

Source: Hoja Newspaper
Chanzo chenyewd gazeti uchwara la HOJA!Hawa si ndio wanaogeuza maoni binafsi kuwa habari?

Mtoa hoja huyu ni mjinga . Ama katumwa kuja kupima upepo na kuona kama atatuondoa kwenye kujadili hoja za maana ili kuongelea ujinga wake huu . Mie simo sitaki kuwa mjinga kama yeye

mambo yanazidi kuwa magumu kwa bwana mbowe kila mda unaposogea ndani ya chadema
1.anajilaumu mwaka jana kumpa nafasi dr slaa mwaka jana kugombea urais kwani ameiua ndoto yake kwani hata 2015 wanachadema wengi wanataka agombee slaa na si mbowe amefunikwa kwa umaarufu
2.uchaguzi wa nafasi ya mwenyekiti kwani zitto kabwe 2009 aliambiwa asubiri 2013 je watamruhusu agombee? Pia wengine wanashauri nafasi ya uenyekiti apewe dr.slaa
3.mbaya zaidi mpaka sasa wana chadema wa 5 wametangaza kugombea urais kupitia chadema 2015 mbowe ambaye sasaivi anajitaidi kutafuta umaarufu ndio mana akaamua hadi kuwa kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni ili ajijenge kisiasa. Dr slaa pia kuna tundu lissu, zitto kabwe na prof baregu.

Source: Hoja newspaper

chizi cyo lazima avue nguo kwani hata kuandika pumba inaonyesha dhahili kuwa wewe ni chizi, cyo lazima mwenyekiti wa chama ndio awe rais, angalia south afrika chama cha anc zuma alikua mwenyekiti huku tabhu mbeki akiwa rais, chadema wanachoangalia ni utendaji na siyo uenyekiti thats why kamanda mbowe alimuachia kamanda slaa kwa kujua wanaaminiana kikazi,,,,,acha uchizi na hii thread yako...

Mambo yanazidi kuwa magumu kwa bwana mbowe kila mda unaposogea ndani ya chadema
1.anajilaumu mwaka jana kumpa nafasi dr slaa mwaka jana kugombea urais kwani ameiua ndoto yake kwani hata 2015 wanachadema wengi wanataka agombee slaa na si mbowe amefunikwa kwa umaarufu
2.uchaguzi wa nafasi ya mwenyekiti kwani zitto kabwe 2009 aliambiwa asubiri 2013 je watamruhusu agombee? Pia wengine wanashauri nafasi ya uenyekiti apewe dr.slaa
3.mbaya zaidi mpaka sasa wana chadema wa 5 wametangaza kugombea urais kupitia chadema 2015 mbowe ambaye sasaivi anajitaidi kutafuta umaarufu ndio mana akaamua hadi kuwa kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni ili ajijenge kisiasa. Dr Slaa pia kuna Tundu Lissu, Zitto Kabwe na Prof Baregu.

Source: Hoja Newspaper

Crap from a crap madrasa newspaper

Another PASUA KICHWA IN JF

Mbona liquid iliyoko kwenye ubongo wako sijaielewa? Lazima yatakuwa maji ya tikiti maana nimechoka ulivyosema source ni hoja newspaper

Crap crap this,magambazzzzz.com hamlali hamtulii mtafikiri mmekalia moto!!!!siku kwenu haiwi siku mpaka muitaje Chadema

crap crap, ni kama chadema siku haiishi bila kutaja ccm na serikali wanayoiongoza, hah hah hah

Wasomi hukifanyia uchunguzi kwanza kile walichokisika na baada ya hapo hutoa maon yao.

Fikiri namna ya kuisaidia magamba,
badala ya kupoteza muda kusukuma ukuta wa zege kwa mikono.:mod:

Thread pumba zingine ukizikuta mtaani cyo lazima ulete humu jamvini! Umenipotezea muda kuisoma...na kama umetumwa f.u

Hakuna hoja hapo, Mbowe akishirikiana na Dr Sla ameimarisha cdm kwa muda ambao amekuwa mwenyekiti wa chama na kama lengo lake lilikuwa urais na umaarufu angegombea yeye 2010 badala ya Dr, lakini kwasababu chama kinaongozwa kisayansi walipopokea ripoti ya kitaalam iliyoainisha nani anafaa kuwa mgombea yeye na wana cdm wote waliikubali na ndipo Dr akapewa nafasi ya kugombea urais. Kumbuka hata 2015 chama kitafanya mambo kitaalam zaidi.

NDOTO za mwendawazimu MBOWE na uraisi wapi kwa wapi? MBOWE yupo kuangalia kuna deals gani atengeneze pesa, yeye akishirikiana na MKWEWE wapo kuendesha kutafuta pesa kwa mgongo wa siasa, atahakikisha MBOWE anaachiwa UENYEKITI ili deals ziendelee, biashara ya Mil. 180 si mbaya sana ukipata deals kama tatu hivi kwa mwaka kuna ubaya gani?

Chama
Gongo la Mboto DSM

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom