GeniusBrain
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 4,315
- 306
Hakuna hoja hapo, Mbowe akishirikiana na Dr Sla ameimarisha cdm kwa muda ambao amekuwa mwenyekiti wa chama na kama lengo lake lilikuwa urais na umaarufu angegombea yeye 2010 badala ya Dr, lakini kwasababu chama kinaongozwa kisayansi walipopokea ripoti ya kitaalam iliyoainisha nani anafaa kuwa mgombea yeye na wana cdm wote waliikubali na ndipo Dr akapewa nafasi ya kugombea urais. Kumbuka hata 2015 chama kitafanya mambo kitaalam zaidi.
Mbowe na Slaa ndio wana kifisidi chama cha Chaggas Development Manifesto (CHADEMA)