Mediocrist
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 1,697
- 930
tafuta video converter, then convert kwenda avi, mpeg, 3gp na format mbali mbali then test hio deki yako.
inaweza kuwa mp4 lakini wakawa wameicompress x264 au x265 hivyo deki yako nayo haisupport hizo compression mwisho wa siku inashindwa kuplay.
So niweke resolution gani mkuu? 240p,144p au 360p kuhusu format nishafahamu hii deki inahitaji format ya MPG sasa resolution ndo tatizo bado mkuu