beast18
JF-Expert Member
- Mar 20, 2016
- 320
- 482
ila bado single thread perfomance haidetermine complete cpu power ndio maana kwenye perfomance hicjo kipentium kimeachwa mbali mkuu ,, vilevile architecture zetu hazifanan , vilevile kuanzia cache size had bus speed hatufanani, ila mpaka sasa hv sijui kama umenisoma kwamba nimekubali intel is way powerful ila nazungumzia tweaks zinazoweza kuboresha amd apu , mfano hio amd fx can be overclocked kama intel k models , alafu intel nyingi bios imefungwa huwez kufanya tweaks nnazozizungumzia , ungekuwa ushawah kutumia amd ungeona tweaks hizo mkuu , unaweza kuset had bus speed , ,, na kuhusu jamaa nimekosea kidogo yake ni i5 3230M ,hapana mkuu ghz si kitu, tunatumia ghz pale tu inapokuwa same architechture mfano 2.5 ghz ya haswell na 2.7ghz ya haswell hapo hio 2.7 itakuwa kubwa sababu zote ni haswell ila archtecture zikishakuwa tofauti tu ujue tayari na perfomance zinakuwa tofauti.
mimi nimegoogle jina la carrizo uliyonipa ambayo ndio hio, angalia tena jina la cpu yako labda umekosea.
mkuu cpu za amd zenye 5ghz zinapitwa cpu za intel zenye 3ghz huo ndio ukweli, fastest cpu za amd kwa sasa ni fx9590 yenye 4.7ghz na turbo hadi 5ghz hii ni benchmark yake
PassMark - AMD FX-9590 Eight-Core - Price performance comparison
single score ni 1723
wakati ki pentium 3258 chenye 3.2ghz kina single score perfomance 2164
PassMark - Intel Pentium G3258 @ 3.20GHz - Price performance comparison
yani sahahu mkuu carrizo yoyote ya laptop kuiguza haswell ya laptop, angalia vizuri hio laptop ya rafiki yako either ina matatizo au sio 4th generation