Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

unaweza kutafuta pia zenye processor ya amd, zipo cheap kuliko intel , chagua tu yenye gpu nzuri , utacheza had fifa17
cpu za amd za laptop ni dhaifu sana, na hata gpu hazina tofauti sana na intel sasa hivi
 
zinajitahd ,ila unapolinganisha na intel, intel ni bora zaidi,, ila kwa gaming sidhan kama itamsumbua mfano akipata yenye quadcore ,,, gpu intel labda hizi new generation ila sasa tatizo linarud kwenye bei , ila bado sidhan kama unaweza kuiingiza intel kwenye league ya gpu za nvidia au amd ,
 
mkuu kwenye low end gpu za laptop sasa hivi zote zinapitwa na internal gpu za intel, kuanzia nvidia 940m kupanda ndio atleast utasema una gpu nzuri, zenye 930, 920 na 910 pamoja na wadogo zake (830,730,720,820,710 etc) zinapitwa na igp za intel. na ukitaka laptop ya 950m au 960m hapo uandae si chini ya milioni 1.

na hizo apu za amd pia gpu zake sio nzuri kivile compare na za intel tafuta gpu yoyote ya amd ambayo ipo ndani ya apu halafu compare na gpu dhaifu kabisa ya intel ya 7th gen kama intel hd 620 then utaona,
 
apu sio nzuri yeap , ila uzur wa amd apu nyingi ni dual graphics kwahio unakuwa na gpu dedicated na nyingine inayoshare board na cpu , na mara nyingi ya onboard ni dhaifu na inaitwa kabisa low quality gpu , sasa unaweza kuzitumia zote kwa kucrossfire mfano apu ikawa na 768Mb na gpu ya nje ikawa 2GB hapo unakuwa na perfomance boost , japo sasa unaweza kuwasha moja ukitaka low unaweza kuiwasha , ukitaka ya high unaweza kuiwasha, sina uhakika kuhusu intel gpu za saa hv ila nna uhakika haziwez kuwa kwenye race moja na akina sapphire za amd au titan x nvidia , ndio maana hata gaming laptop mfano msi, asus rog , alienware huwez kukuta zina gpu ya intel , intel inatisha kwenye cpu tu

Sent from my SM-N910C using JamiiForums mobile app
 
yap kama ina dedicated graphics hio ni issue nyengine sababu inaisaidi kiasi fulani cpu ya apu, lakini pia ukikutana na game linalotaka cpu nzuri still utakwama.

ukiwa na cpu nzuri game likikwama unapunguza tu quality ya graphics litacheza ila ukiwa na gpu nzuri na cpu dhaifu game likikataa ndo basi tena huna ujanja

na hizo laptop ulizotaja ni highend na bei zake ni milioni 3+ hapa tunazungumzia low end,
 
usisahau lakin kuwa game za pc hazifanan mkuu, kuna nyingine cpu demanding na nyingine ni gpu demanding, mfano gta v ni cpu demanding lakin game kama fifa ni gpu demanding , cha muhimu ni kubalance vizuri tu settings zako ukijua game inataka nini ,
unapozungumzia low end ndo amd inapokuja, sababu ukitaka gaming laptop kwa budget ndogo lazima ukubaliane na mapungufu yatakayojitokeza,,
 
mkuu hizo issue za amd ni mkali wa low end zilikuwa 2011 kushuka chini, sasa hivi ukichukua cpu ya intel na gpu ya bei rahisi ya nvidia unaipita apu yoyote ile.

ni kweli kuna game ni cpu demanding na gpu demanding ila kama nilivyosema hapo juu ukiwa nq cpu nzuri na gpu ndogo ukikwama kwenye gpu uta lower tu resolution na quality ya graphics then utacheza hilo game fresh ila ukikwama kwenye cpu ndio basi sahau hilo game
 
usisahau kuna kuoverclock mkuu, nakubaliana na ww kuwa intel mbabe wa amd , ila hio ni overall , haimaanishi cpu zote za amd ni za ovyo kulinganisha na za intel, zipo nzuri na mm nimebahatika kuwa nayo
 
mfano cpu ipi? sijawahi ona.maishani mwangu cpu ya amd yenye single score perfomance kubwa
 
sijui unaamaanisha perfomance ya kiasi gani ila my A10 hainip shida kabisa , tatizo unasahau kuwa kuna tweaks unaweza kuzifanya zikaboost perfomance, mfanobmimi nimelock frequency at 3.5Ghz haijalishi load ni kubwa au ndogo, na maybe niseme kabisa i run games better (nikimaanisha napata fps stable na nyingi ) kuliko jamaa yangu mwenye i5 4th gen ambaye na yy ana dedicated amd gpu kama ya kwangu
 
never mkuu, unless una compare cpu ambazo ni category tofauti, itaje hio cpu yako, mimi ninayo i5 4th gen base yake ni 2.5ghz ila inaturbo mpaka 3ghz+ halafu tufanye comparison hapa, hakuna cpu yoyote ya amd kwa sasa (hata zile za deaktop) inayoweza pambana na cpu ya intel (hata za laptop) kwenye single thread perfomance ambayo ndio muhimu zaidi kwenye games, games chache sana hutumia core zaidi ya nne sawa sawa.
 
nna amd 8700p carizzo mkuu ,, naona bado huzingatii tweaks zangu nlizofanya ,yangu niya 2.5ghz turbo to 3.5ghz na nimeilock kwenye 3.5ghz,, jamaa yangu ni 2.6ghz na turbo hadi 3.4ghz , ingekuwa hakuna amd inayoishinda intel bas jamaa asingehangaika na game even tukiweka same settings, ukiniambia kwenye mambo mengine kama graphics design naweza kukubal sababu sijawah kujaribu ila sio kwa kitu ambacho najionea
 
no way carrizo at 3.5ghz iipite haswell (4th gen) hata ikiwa katika 2.5ghz

mimi nina i5 4200m 2.5ghz chagua benchmark yoyote unayoitaka wewe run halafu lete matokeo hapa na mimi nitarun benchmark hio hio tulinganishe score

mfano mzuri angalia hizi passmark score
1. cpu yako 1.8 hadi 3.2
PassMark - AMD A10-8700P - Price performance comparison

-single score ni 1221
-multiscore ni 3476

2. cpu yangu i5 4200m ambayo ni 2.5 hadi 3.1ghz
PassMark - Intel Core i5-4200M @ 2.50GHz - Price performance comparison

-single score 1651
-multiscore 4035

pamoja na kwamba yangu ni dual core na hyperthread na yako ni quadcore lakini nimeipita speed yako kote kote kwenye single score na multiscore.
 
asee hio sijawah kuona yani cpu yangu iwe 3.5ghz yaan 3 thousand million cycles per round bado wewe uliye 2.5ghz unipite, hapo hata hesabu zinakataa mkuu,single , hapana amd ni dhaifu lakini sio hvo , unasahau pia kuna cache size , probably yako ni ndogo sababu ni ya kizaman kidogo ,,,, io hyper thread hata mm nnayo mkuu,, alaf baada ya kuona hizo passmark hio sio carrizo yangu mzee, hio ni ya hovyo yani 1.8 ghz , yangu ni 2.5ghz turbo speed up to 3.5ghz , kumaliza ubishi kila mtu arun benchmark afu alete mrejesho hapa
 
hapana mkuu ghz si kitu, tunatumia ghz pale tu inapokuwa same architechture mfano 2.5 ghz ya haswell na 2.7ghz ya haswell hapo hio 2.7 itakuwa kubwa sababu zote ni haswell ila archtecture zikishakuwa tofauti tu ujue tayari na perfomance zinakuwa tofauti.

mimi nimegoogle jina la carrizo uliyonipa ambayo ndio hio, angalia tena jina la cpu yako labda umekosea.

mkuu cpu za amd zenye 5ghz zinapitwa cpu za intel zenye 3ghz huo ndio ukweli, fastest cpu za amd kwa sasa ni fx9590 yenye 4.7ghz na turbo hadi 5ghz hii ni benchmark yake
PassMark - AMD FX-9590 Eight-Core - Price performance comparison

single score ni 1723

wakati ki pentium 3258 chenye 3.2ghz kina single score perfomance 2164
PassMark - Intel Pentium G3258 @ 3.20GHz - Price performance comparison

yani sahahu mkuu carrizo yoyote ya laptop kuiguza haswell ya laptop, angalia vizuri hio laptop ya rafiki yako either ina matatizo au sio 4th generation
 
Back
Top Bottom