Mungu wa Rais wetu ni Yupi?

Kaidabisha kwa kufanya lipi? Lugumi kachukua 37 billion za polisi hata kumtaja anaogopa. Wabunge wa CCM kawapa rushwa ya bilioni 10 kila mmoja ili wapitishe ule mswaada uchwara wa kuminya uhuru wa habari nchini. Kanunua MV Ufisadi kwa bilioni 8 hata kutia neno kuhusu ufisadi wake. Kesi ya Tanesco ambayo inatakiwa ilipe $148 million hata kutia neon hadi leo hii kagoma. Kwakwapua zaidi ya bilioni 15 za wahanga wa tetemeko na kudai zilizochangwa ni bilioni 5 tu halafu zote kazipeleka kwemye miundo mbinu ya Serikali pamoja na watoaji kukusudia pesa zile ziwasaidie raia wa kawaida na si Serikali. Mwezi wa tatu huu hata kwenda Kagera kuwafariji wahanga hataki. Mkuu tafakari kwa kina hapo kwenye rangi.

Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, mimi nadhani bila kumpata Dakitari JPJM, ili aiadabishe nji hii, nchi hii ingepotea kwenye ramani ya dunia kla mtu angesimama na kutamka jeuri anayoitaka yeye, hata mwizi alijiona kuwa na hak ya kulaumu kwamba hajaiba vizuri ameiba VIJISENTI tu au HELA YA MBOGA tu. Amepunguza sana rushwa, udanganyifu (a.k.a HEWA), wizi, ameongeza nidhamu ya kazi (hata kama ni ndhamu ya uoga), analipa ada, n.k, Mungu atupe nini..?!
 
Kitu chenyewe mkopo ? Mmh ! Kweli kama Jk alitawala kwa fimbo,huyu sasa ni fimbo ya chuma
 
Wanad'salaam wote wana mungu mmoja tu nae ndo mungu wao kuanzia maili moja hadi kupita magogoni hadi hadi kimbiji anaabudiwa na wote
 
Kaidabisha kwa kufanya lipi? Lugumi kachukua 37 billion za polisi hata kumtaja anaogopa. Wabunge wa CCM kawapa rushwa ya bilioni 10 kila mmoja ili wapitishe ule mswaada uchwara wa kuminya uhuru wa habari nchini. Kanunua MV Ufisadi kwa bilioni 8 hata kutia neno kuhusu ufisadi wake. Kesi ya Tanesco ambayo inatakiwa ilipe $148 million hata kutia neon hadi leo hii kagoma. Kwakwapua zaidi ya bilioni 15 za wahanga wa tetemeko na kudai zilizochangwa ni bilioni 5 tu halafu zote kazipeleka kwemye miundo mbinu ya Serikali pamoja na watoaji kukusudia pesa zile ziwasaidie raia wa kawaida na si Serikali. Mwezi wa tatu huu hata kwenda Kagera kuwafariji wahanga hataki. Mkuu tafakari kwa kina hapo kwenye rangi.
Umezungumza ukweli,mkuu vitu vinavyomgusa upande mwingine hataki kuvizungumzia kabisaaa anajua ni bovu kwake!Hongera umeongea ukweli
 
Back
Top Bottom