Mungu wa Rais wetu ni Yupi?

Umenena vema tena kwa Lugha!
Asante sana Mlaluko. Huo usemi wa "kunena kwa lugha" nausikia sana miongoni mwa waumini fulani wa Kikristo. Sitaki kukuuliza kama wewe ni mmoja wao. Hapo nitakuwa naingilia "private faith" yako. Ila umenifurahisha kuutumia usemi huo nje ya maudhui ya kidini na nimekuelewa kabisa.
 
Hahaha!nimetumia kwa maana nayosikia wakimaanisha but siko ktk imani inayofungamana na madhehebu wala dini hiyo.
 
Siku tukichoka kuwa "oppressed" tutasema.Maana Bubu hutaka kusema mambo yanapomzidia.
 
Mshahara Wang laki 4 tu hapo kodi bado haijakatwa mpaka ifike ml 7 leo?
 
Millioni saba sina na juzi kawaambia magereza eti mtu akifungwa inabidi "AMENYEKE" haswa!
 
Mlaluko unaonyesha ni njisi gani ulivyo na uelewa umefafanua vzr sn. Lakini kuna kama wawili tu. Waliokuunga mkono

Lakini sishangai maana kila mtu na uelewa wake nimekupa big up endelea kufundisha maana humu mzigo mingi

Kuna mchangiaji naye kachangia eti mzumbe hawawezi kutoa tathimini ya kukubalika eti kisa wachache anataka wawe wangapi ili akubari?

Lakini mchangiaji huyo kasahau kwamba watanzania ml.45 hawakupiga kura wote waliopga ni kati ya elfu 20. Hawakuwakilisha nchi nzima?
 
Shukrani sana kaka kwa Uelewa wako pembuzi
 
Sijui aisee! dah! maana sifa ya Mungu ni huruma kitu ambacho kwa huyu hakipo wala hafahamu kama kipo ulimwenguni.
 
Back
Top Bottom