Mungu mkubwa.

Daisam

JF-Expert Member
May 23, 2016
2,626
3,141
Naomba Watanzania wote kwa umoja wetu bila kujali itikadi zetu:-
*Tutumie njia zote zinazowezekana kupambana ili huko mbeleni tumpate Rais, Mawaziri na Wawakilishi wenye Akili timamu, Wazalendo, wachapakazi na wenye upendo zaidi kwa Watanzania tofauti na hawa waliopo sasa ambao hawana huruma hata kidogo kwa Watanzania, wanaangalia matumbo yao tu.

Naomba Mungu atusaidie kubadili Fikra na Mitazamo ya Watanzania.

Mungu mkubwa, siku moja tutapata viongozi wenye akili timamu.
 
Kwani hawa tulio nao tuliwachagua?!
Huenda ndo maana hayana hata huruma kwa wananchi
 
Back
Top Bottom