Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 24,054
- 71,347
Pengine Inawezekana mkawa mnalifaham ila mnalipuuzia .
Pengine Mungu kaamua kuendelea kuwapa ugumu wa Moyo na kufabaza akili zenu ili mshangazwe !!.
Paul Christian Makonda, Uthubutu alonao ni zaidi ya Hayati John Pombe Magufuli, na Hawa ndio aina ya watu ambao wanaweza kulivusha Taifa hili, viongozi wakweli, wawazi, wenye uthubutu, wanaowajibika, wenye huruma, wenye kusema kitu wanachomaanisha, watu wenye Akili , Hekima na Busara, Wazalendo na Wafia Nchi.
Miaka yote, Tanzania ilikosa viongozi wa aina hiii, kuinuka Kwa JPM nankuonyesha Uthubutu ambao umewafanya watanzania kuamini Tunaweza, ilikua ni Njia ilofunguliwa Rasimi na hivo Nchi kama Nchi hairudi nyuma.
Ndioo, Dunia ya Sasa Kila Kiongozi anapambania Nchi yake kwanza, na Wananchi wake ,haya ndio mabadiliko makubwa ambayo Dunia inapitia.
Dr Nchimbi kua mwenye msimamo, hakukumfanya Hayati Magufuli asiwe Rais, nadhani hili ni jambo ambalo anatakiwa kuliweka Kichwani kwanza kabla hajafunua Kinywa chake.
Kwakua Kila Kiongozi ana Falsafa zake za kiuongozi, DR NCHIMBI mwenye mlengo wa kipebari, yeye afanye ubepari wake, Mh Paul Makonda mwenye mlengo wa UJAMAA, aachwe afanye UJAMAA wake yote Kwa yote Ilani ya CCM itekelezwe !!.
Dr Nchimbi atambue kua , Hana athari yoyote kisiasa, Wala nyuma yake Hana watu, infact HAKUBALIKI NA WALA HAJULIKANI labda kakikundi kake kadogo ambako Sasa kanajiona ndo kanakomiliki Nchi kiganjani mwake.
MH PAUL MAKONDA, PIGA KAZI, KEMEA WATUMISHI WAVIVU, WAZEMBE, MAJAMBAZI, MAFISADI, NA WOOOTE WANAOTURUDISHA NYUMA, WASIPOKUELEWA SASA, WATAKUELEWA BAADAE.