thanx Preta,nilikumiss.Soon nitakua karibu nanyi,nitabarikiwa kuwaona tena.
thanx katavi,ubarikiwe kwa maombi utakayotufanyia.Hongera sana Dada Cheusi, na nitaendelea kukuombea muwe na afya njema na huyo shemeji asibadili mawazo.....
hongera.amani ya mungu na iwe juu yenu wapendwa wangu.
Najua nimepotea machon mwenu kwa kitambo sasa,lkn sikua na tatizo lolote ni michakato tu ya kimaisha ndo ilifanya nikose muda wakuwa nanyi wapendwa wangu.
Hapa nilipo nina furaha ya ajabu,ni muda mrefu sijawahi kuwa na furaha ya kiwango cha juu namna hii.shemeji yenu nimpendae kuliko kitu chochote hapa duniani amenifanya the happiest woman alive kwa kunivalisha pete ya uchumba.huyu shem wenu kuna kipindi nilidhan ananipotezea muda maana kila nilikua nikimtajia mambo ya ndoa alionekana hayuko tayari.baada ya kusubiri sana nikaamua kufunga kwa maombi,nikasema mungu kama huyu kijana siye uliyeniandalia naomba umfanye aniache nisonge mbele asinipotezee muda ila kama ndiye uliyenipangia basi naomba unipe ishara kwa yeye kunivalisha pete bila ya mim kumwambia wala kuongea lolote lenye kuhusiana na ndoa.kwa kweli mungu wangu is the most highest god,no one like him,i will always serve him.ndugu zangu lengo la kuandika hapa,sio tu kuwashirikisha furaha yangu bali pia ni kuwashuhudia kwamba tumshirikishe mungu kwenye mambo yetu yote,maana hekima zake si kama zetu.
Ashadii niandalie kitchen party.
Cheusimangala dear .
Nimefurahi mno kwa taarifa hii nimepata . Kwa kweli unastahili pongezi for pamoja na kusema wengi wamekua na kasumba/imani ya kusema kuolewa sio lazima Sikubaliani nao IMO Kuolewa ni bahati, hivyo Cheusi Mpenzi jihesabu kua una bahati (and from your posts, nina glimpse ya the type of person you are hivo hata shemeji yetu naamini ana bahati pia). HONGERA SAAAANA!
Iam humbled kua umesema nikuandalie kitchen party (Yawezekana umetania but sinaga utani in ndoa relatated issues for I respect with maximum hio institution) Sielewi upo wapi . Ila tokana na shughuli na my full situation naamini kua kuhudhuria kwangu ni kugumu, la muhimu nitaandaa special thread yako kwa ajili ya kitchen party na Mungu akijalia nitakutumia popote ulipo kumbukumbu ambayo nitajitahidi iwe ya kudumu kwa mda mrefu katika ndoa yako. Mwenyezi Mungu Muweza wa yoote akulinde, akubariki na akuwekee wepesi katika maandalizi yoote mpaka hatua ya Ndoa. Be Blessed.
Pamoja Saaana.
AshaDii .
Kwa kweli hiyo furaha yako ni ya uhakika, ila ninalo swali kidogo; huyo shem wetu uliwahi kufanya naye mambo ya kikubwa???????? Maana unasema mmejuana siku nyingi kivipi??? Kama ni hivyo mtabidi mtubie dhambi zenu kwanza kabla ya kumshirikisha Mungu kwenye mipango yenu ya ndoa. Msirudie tena kukutana kimwili hadi harusi!!!!!!!!! Bila shaka mmenielewa!!!!!!!!!Amani ya Mungu na iwe juu yenu wapendwa wangu.
Najua nimepotea machon mwenu kwa kitambo sasa,lkn sikua na tatizo lolote ni michakato tu ya kimaisha ndo ilifanya nikose muda wakuwa nanyi wapendwa wangu.
Hapa nilipo nina furaha ya ajabu,ni muda mrefu sijawahi kuwa na furaha ya kiwango cha juu namna hii.Shemeji yenu nimpendae kuliko kitu chochote hapa duniani amenifanya the happiest woman alive kwa kunivalisha pete ya uchumba.Huyu shem wenu kuna kipindi nilidhan ananipotezea muda maana kila nilikua nikimtajia mambo ya ndoa alionekana hayuko tayari.Baada ya kusubiri sana nikaamua kufunga kwa MAOMBI,nikasema Mungu kama huyu kijana siye uliyeniandalia naomba umfanye aniache nisonge mbele asinipotezee muda ila kama ndiye uliyenipangia basi naomba unipe ishara kwa yeye kunivalisha pete bila ya mim kumwambia wala kuongea lolote lenye kuhusiana na ndoa.Kwa kweli Mungu wangu is the most highest God,no one like him,i will always serve him.Ndugu zangu lengo la kuandika hapa,sio tu kuwashirikisha furaha yangu bali pia ni kuwashuhudia kwamba tumshirikishe Mungu kwenye mambo yetu yote,maana hekima zake si kama zetu.
Ashadii niandalie kitchen party.
usiniulize swali jipyasawa bana nimekubali kishingo upande,congrats.
Hongera sana cheusi. Angalia usimuonjeshe asali atakimbia akilamba
Sifa na utukufu ni vyake Bwana!
Hapa sasa cheusimangala hommie wangu Fidel kwa statement hii ngoja nimsubiri nione atajibu nini lol!!!thanx fidel kwa hongera na kwa tips.
safari hi nakuruhusu unidai chochote utakacho nitatoa kama kipo ndani ya uwezo wa kutolewa.
bro umetoka kwa dhamana ? pole sana mkuu Kloro alitupa taarifa ndio dunia hii.usiniulize swali jipya
thanx u so much.napata faraja kuona mkifurahia pamoja nami.Ndoa ni jambo jema,na siku zote nitahakikisha uwepo wa Mungu unatawala ktk nyumba yangu ili aniepushe na kauli kuwa ndoa ni njungu,nikimtumainia yeye nina hakika kabisa mm na mwenzangu tutaiona kuwa nyumba yenu ni sawa na bustani ya eden.Ni kweli shemeji yako ana bahati sababu nina mpenda sana tena kwa dhati.
Hapo pekundu umenigusa sana machozi yananilenga kwa furaha ya kunionesha upendo namna hii,hiyo thread nitaitoa copy na nitazingatia kila neno litakalokua limeandikwa humo.Asante sana my darling sister na Mungu akubariki.
Enzi zetu hakukuwa na kuvalishana pete za uchumba!!!
Siku hizi nimeshuhudia wachumba wanavalishana pete za uchumba mpaka uchumba unavunjika!!!
Anywayz endelea na maombi maana "siku hizi" we acha tu!