Mungu anajibu maombi,shemeji yenu kanichumbia

cheusimangala

JF-Expert Member
Feb 27, 2010
2,585
497
Amani ya Mungu na iwe juu yenu wapendwa wangu.

Najua nimepotea machon mwenu kwa kitambo sasa,lkn sikua na tatizo lolote ni michakato tu ya kimaisha ndo ilifanya nikose muda wakuwa nanyi wapendwa wangu.
Hapa nilipo nina furaha ya ajabu,ni muda mrefu sijawahi kuwa na furaha ya kiwango cha juu namna hii.Shemeji yenu nimpendae kuliko kitu chochote hapa duniani amenifanya the happiest woman alive kwa kunivalisha pete ya uchumba.Huyu shem wenu kuna kipindi nilidhan ananipotezea muda maana kila nilikua nikimtajia mambo ya ndoa alionekana hayuko tayari.Baada ya kusubiri sana nikaamua kufunga kwa MAOMBI,nikasema Mungu kama huyu kijana siye uliyeniandalia naomba umfanye aniache nisonge mbele asinipotezee muda ila kama ndiye uliyenipangia basi naomba unipe ishara kwa yeye kunivalisha pete bila ya mim kumwambia wala kuongea lolote lenye kuhusiana na ndoa.Kwa kweli Mungu wangu is the most highest God,no one like him,i will always serve him.Ndugu zangu lengo la kuandika hapa,sio tu kuwashirikisha furaha yangu bali pia ni kuwashuhudia kwamba tumshirikishe Mungu kwenye mambo yetu yote,maana hekima zake si kama zetu.

Ashadii niandalie kitchen party.
 
wooow....hongera sana Cheusimangala....ulipotea sana....lakini nafurahi kusikia ni kwa mazuri.....Mungu akutangulie kwenye kila jambo ulipangalo
 
Cheusi mwayego hongera zako na kila la kheri kwenye hiyo safari ndefu...

Mungu aendelee kukupigania.... Sikiliza na wimbo wa Upendo Nkone...Mungu baba!
 
congratulation cheusi,i am really happy for you,mungu atakujaalia atakaekuwa mume wako,mtaelewana,kusikilizana na kuvumiliana
 
wooow....hongera sana Cheusimangala....ulipotea sana....lakini nafurahi kusikia ni kwa mazuri.....Mungu akutangulie kwenye kila jambo ulipangalo
thanx Preta,nilikumiss.Soon nitakua karibu nanyi,nitabarikiwa kuwaona tena.
 
Cheusi mwayego hongera zako na kila la kheri kwenye hiyo safari ndefu...

Mungu aendelee kukupigania.... Sikiliza na wimbo wa Upendo Nkone...Mungu baba!

thanx bht ubarkiwe.
asante kwa wimbo,nitausikiliza
 
Amani ya Mungu na iwe juu yenu wapendwa wangu.

Najua nimepotea machon mwenu kwa kitambo sasa,lkn sikua na tatizo lolote ni michakato tu ya kimaisha ndo ilifanya nikose muda wakuwa nanyi wapendwa wangu.
Hapa nilipo nina furaha ya ajabu,ni muda mrefu sijawahi kuwa na furaha ya kiwango cha juu namna hii.Shemeji yenu nimpendae kuliko kitu chochote hapa duniani amenifanya the happiest woman alive kwa kunivalisha pete ya uchumba.Huyu shem wenu kuna kipindi nilidhan ananipotezea muda maana kila nilikua nikimtajia mambo ya ndoa alionekana hayuko tayari.Baada ya kusubiri sana nikaamua kufunga kwa MAOMBI,nikasema Mungu kama huyu kijana siye uliyeniandalia naomba umfanye aniache nisonge mbele asinipotezee muda ila kama ndiye uliyenipangia basi naomba unipe ishara kwa yeye kunivalisha pete bila ya mim kumwambia wala kuongea lolote lenye kuhusiana na ndoa.Kwa kweli Mungu wangu is the most highest God,no one like him,i will always serve him.Ndugu zangu lengo la kuandika hapa,sio tu kuwashirikisha furaha yangu bali pia ni kuwashuhudia kwamba tumshirikishe Mungu kwenye mambo yetu yote,maana hekima zake si kama zetu.

Ashadii niandalie kitchen party.
Pia soma sana threads za Miss Judith utajifunza mengi!
 
Hongera sana Cheusi Mangara. Mungu akutangulie kwa kila jambo. Unakaribishwa sana kwenye maisha ya ndoa (stress free life!)
 
Hongera sana Dada Cheusi, na nitaendelea kukuombea muwe na afya njema na huyo shemeji asibadili mawazo.....
 
Cheusimangala dear….

Nimefurahi mno kwa taarifa hii nimepata…. Kwa kweli unastahili pongezi for pamoja na kusema wengi wamekua na kasumba/imani ya kusema kuolewa sio lazima… Sikubaliani nao… IMO Kuolewa ni bahati, hivyo Cheusi Mpenzi jihesabu kua una bahati (and from your posts, nina glimpse ya the type of person you are… hivo hata shemeji yetu naamini ana bahati pia). HONGERA SAAAANA!

Iam humbled kua umesema nikuandalie kitchen party… (Yawezekana umetania – but sinaga utani in ndoa relatated issues for I respect with maximum hio institution) Sielewi upo wapi…. Ila tokana na shughuli na my full situation naamini kua kuhudhuria kwangu ni kugumu, la muhimu nitaandaa special thread yako kwa ajili ya kitchen party na Mungu akijalia nitakutumia popote ulipo kumbukumbu ambayo nitajitahidi iwe ya kudumu kwa mda mrefu katika ndoa yako. Mwenyezi Mungu Muweza wa yoote akulinde, akubariki na akuwekee wepesi katika maandalizi yoote mpaka hatua ya Ndoa. Be Blessed.

Pamoja Saaana.
AshaDii….
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom