Mume wangu na x-gf wake

.... my mr si mpenzi wa kukaa chini aanze kudraft application so aliomba nimsaidie maana mi ndie hua nafanya application zake nyingi nilipouliza yanani akajibu nikamwambia mwambie aniombe mwenye......

Hapa kuna kitu sijakielewa....yaani X anamwomba mmeo amwandalie barua ya application na mmeo anakuletea wewe ufanye??....
Kama nimeelewa sahihi...Naona kama haiwezekani vile.....
 
mmh sasa leo ndiyo nimejitahidi kukisimamisha kiswahili sanifu sasa mom km ngumu kunielewa tena apo ahh sjuii nfanyaje sasa?
ni ivi
1.mumeo na x wake ni wapenzi bado
2.kitendo icho kinaonyesha dharau uyo mumeo anakudharau
3.ongea na mumeo that haupend tabia iyo
umenielewa mama?apo nimetumia lugha ya bikira maria sasa km ngumu tena mmh basi mi sfai!!!!!
heheee, mdogo wangu una mambo! nimekuelewa
 
mmh sasa leo ndiyo nimejitahidi kukisimamisha kiswahili sanifu sasa mom km ngumu kunielewa tena apo ahh sjuii nfanyaje sasa?
ni ivi
1.mumeo na x wake ni wapenzi bado
2.kitendo icho kinaonyesha dharau uyo mumeo anakudharau
3.ongea na mumeo that haupend tabia iyo
umenielewa mama?apo nimetumia lugha ya bikira maria sasa km ngumu tena mmh basi mi sfai!!!!!

Ile yako ya kwaida huwa ni ya nani?

Retired Maj Gen DC (1947)
 
Hapa kuna kitu sijakielewa....yaani X anamwomba mmeo amwandalie barua ya application na mmeo anakuletea wewe ufanye??....
Kama nimeelewa sahihi...Naona kama haiwezekani vile.....

nafikiri ye alichukulia ni very simple kama ninavyomuandikia yy
 
Lakini Mom naomba kukuuliza. Kama kuna jambo unahitaji msaada na una uhakika kuwa x wako analiweza, yuko tayari kukusaidia na hamjagombana chochote, kwanini usitumie resource hiyo? Ni msaada tu wa kawaida hakuna zaidi. Mbona wengine wanashiriki hadi kwenye kamati za harusi za ma-X wao?
 
Mom umejuaje yote hayo? Mumeo huwa anakuambia? Huy X unamfahamu?

Kama ni hivyo, mshukuru Mungu, hakuna ubaya wowote unaotokea kati yao....Punguza wivu!

Sisi wazee wa infidelity, wake zetu hawapati nafasi ya kuwajua ma-x wetu! Ni mwiko, hasa ukizingatia kuwa imani yetu kuu ni kuwa mahawara huwa hawaachani, kuna kitu kinaitwa baby come back ambacho ni msingi imara wa kanuni za chama chetu....!

Rest assured, mumeo hafanyi lolote kwa huyo X wake. Haya Gonga senksi kama ishara ya kunielewa!

ur not serious kabisa yani.
 
Lakini Mom naomba kukuuliza. Kama kuna jambo unahitaji msaada na una uhakika kuwa x wako analiweza, yuko tayari kukusaidia na hamjagombana chochote, kwanini usitumie resource hiyo? Ni msaada tu wa kawaida hakuna zaidi. Mbona wengine wanashiriki hadi kwenye kamati za harusi za ma-X wao?

sihitaji msaada wa x wangu maana yupo available sana kama ningemhitaji. ni hivi najisikia wivu x wa mume wangu anavyomganda kwa sababu binafsi nisingependa kuzoeana na x wangu kihivyo, nikihitaji ushauri mume wangu ni mshauri wangu wa kwanza!
 
Mimi nilishashuhudia watu wanaomba ushauri kwingine kwa sababu waume zao wameshindwa kuwashauri. Mfano ni hapa JF, kuna wanawake wameolewa lakini bado wanaleta ishu hapa baada ya waume zao kuzishindwa. Sasa kuna ubaya gani kutumia resource iliyoko karibu badala ya kuja kutupiwa madongo hapa JF (maana hapa kuna wengine madongo kwanza ushauri baadae!)
 
sasa we wanishauri niendekeze tu huu ushusiano wao? niwaache tu wazoeane kihiyvo?
 
Mom...charuka mapema...hakunaga mazoea ya kawaida ya watu waliokwishakuwa wapenzi....(ni wachache sana tena sana)utakuja ambiwa shetani alinipitia...mie nilifanya kabisa kumpigia cm, na nikamwambia kabisa cku nikikuta msg au calls zako humu nitakufungia safari, walianzaga hivi hivi, mara vi sms mara vi calls, mara cjui wanaagizia nini ukija huku uniletee mana huko ndio original,cjaonaga sms wala calls zake tena, ni wakati wa kila mtu kushika lake, ameolewa/ameoa sasa nini tena....
 
Mom mimi nakushauri kuwa na amani kabisa mumeo sio infi, maana kama alivyosema asprin kama angekuwa bado na uhusiano nae wala usingejua kama alimuomba amuandikie barua ya application. Sijui nadhani hii ni hulka iliyojengeka kwa sisi watanzania kuwa ukishaachana na mpenzi wako na ukapata mwingine basi in any way htakiwi kabisa kuwa anywhere near your X! mimi nafikiri hii si sawa, mnaweza kuwa mmeachana na X wako lakini bado mkawa best of friends/ best friend hasa kama hamkuachana kwa ugomvi!.
 
uzuri wa hapa ni kwamba mie cmjui Mtu b wala mtu B hamjui Nyamayao....tupo free, lakini wale walishakuwa wapenzi na kama waliachana/tengana kwa kutopenda, i mean bado wakipendana uwezekano mkubwa wakawa wanajifariji.
 
sasa we wanishauri niendekeze tu huu ushusiano wao? niwaache tu wazoeane kihiyvo?
If it's not broken don't fix it. Angalia kama ni mambo ya kawaida ya kimaisha au kikazi yasiyo mapenzi, basi nyamaza don't make a fuss about it. Maana ukishaanza kuwatilia mashaka au tuhuma kwa jambo ambalo pengine hata halipo, wengine hupata kishawishi cha "after all hata tusipofanya bado tunasemwa, bora tufanye kweli hata tunaposemwa iwe kweli". Na kwa sababu walishananiliu zamani ni rahisi "kuchemsha kiporo". Lakini ukimchukulia kawaida heshima itakuwepo. Waswahili wanasema "mchawi mpe mwanao akulelee", kweli hatamloga.
 
Mom mimi nakushauri kuwa na amani kabisa mumeo sio infi, maana kama alivyosema asprin kama angekuwa bado na uhusiano nae wala usingejua kama alimuomba amuandikie barua ya application. Sijui nadhani hii ni hulka iliyojengeka kwa sisi watanzania kuwa ukishaachana na mpenzi wako na ukapata mwingine basi in any way htakiwi kabisa kuwa anywhere near your X! mimi nafikiri hii si sawa, mnaweza kuwa mmeachana na X wako lakini bado mkawa best of friends/ best friend hasa kama hamkuachana kwa ugomvi!.

kibongo bongo ckubaliani nayo, inategemea mmeachanaje...
 
Mom...charuka mapema...hakunaga mazoea ya kawaida ya watu waliokwishakuwa wapenzi....(ni wachache sana tena sana)utakuja ambiwa shetani alinipitia...mie nilifanya kabisa kumpigia cm, na nikamwambia kabisa cku nikikuta msg au calls zako humu nitakufungia safari, walianzaga hivi hivi, mara vi sms mara vi calls, mara cjui wanaagizia nini ukija huku uniletee mana huko ndio original,cjaonaga sms wala calls zake tena, ni wakati wa kila mtu kushika lake, ameolewa/ameoa sasa nini tena....

Hili nalo neno!!!!kwa hapa sisemi tena Nyamayao, umemaliza kabisa
 
sihitaji msaada wa x wangu maana yupo available sana kama ningemhitaji. ni hivi najisikia wivu x wa mume wangu anavyomganda kwa sababu binafsi nisingependa kuzoeana na x wangu kihivyo, nikihitaji ushauri mume wangu ni mshauri wangu wa kwanza!

umemjibu vyema
kwa yeyote mwenye utu na uungwana lazima aapreciate mtu aliyenae ndani si alieenda naye kansani kwa baba paroko kuvishana pete..
sawa km unajua fild i mume wangu haiwez na akaadmiti ivo basi unaomba msaada nje bt always is the best kumwomba ushauri mumeo au mkeo..
mom amekwambia aend kwa x kuomba ushauri cz anajua si vyema na si uungwana na inaonyesha unamdharau mumeo ..na nyinyi wanaume msivyopenda kudharauliwa eti uskie ..dear nilienda kwa john kumwomba anielekeze ku apply chuo kile...nilienda anishauri gari gani imara ninunue ..ahhhh kweli utamwelewa?ebu kuwa realistic
ata km kitu ukijui lakin akikushirikisha we pia una mkarafiki zako wanaojua iyo issue so ni kiasi tu cha kusemmwambia ngoja kesho nkaongee na masawe yeye anajua sana i industry..apo utakuwa umekosa nini?et mpaka uende kwa x wako ukoooooooo ah apana mwaya mi hali i ikija kuntokea patachimbika tena kipimo cha kisima....afanye kwa kificho nisijue lakin nikin'gamua hahah nitam...kwa mara ya pili kwa kutumia kucha km si jambia!!!!
 
una maneno Rose...lol..
 
:dance::mmph::biggrin1::A S 103: I think mumeo ama anakuchezea akili ama anakuona wakuja... ongea nae deeply na kwa ukali ukimaanisha... Hiyo ni dharau pia x wake anakudharau kutokana na kujiachia kwa mumeo kwake... Hurry up..
 
Back
Top Bottom