Bukwabi
JF-Expert Member
- Dec 30, 2013
- 3,352
- 1,146
Mbona wanapenda kupigwa matukio. Wanaume waaminifu wana kazi sanaYaani wanawake hufanya kila liwezekanalo ili tu walie.
Kukiwa na utulivu mwanamke atataka tu alie.
Mtu anampenda, anamjali, anamhudumia na kila kitu lakini mwananmke hajaridhika anataka tu alie.
Mwanamke inatakiwa since day one umemuoa, akujue kwama wewe ni mtu wa matukio tu ili akili imkae sawa mapema.
Mwanaume umekaa kindezi ndezi hivi haya ndio matokeo yake.
Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app