Mume wangu ananisaliti, Usaliti wake unashangaza

Yaani wanawake hufanya kila liwezekanalo ili tu walie.

Kukiwa na utulivu mwanamke atataka tu alie.

Mtu anampenda, anamjali, anamhudumia na kila kitu lakini mwananmke hajaridhika anataka tu alie.

Mwanamke inatakiwa since day one umemuoa, akujue kwama wewe ni mtu wa matukio tu ili akili imkae sawa mapema.

Mwanaume umekaa kindezi ndezi hivi haya ndio matokeo yake.
Mbona wanapenda kupigwa matukio. Wanaume waaminifu wana kazi sana

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Za asubuhi wana jamvi. Ngoja niende kwenye lengo la uzi.

I have been with this man for 8 years, tumefunga ndoa mwaka juzi kiufupi ndoa yetu ina miaka mitatu mahusiano miaka nane.

To be honest, Mr ananipenda sana. Ananijali ananisapoti, nashukuru Mungu kwa hilo.

Sasa miezi miwili iliyopita nikafikiria jambo, nikataka nimjaribu mume wangu niupime upendo wake. Je, ananipenda kweli nje ndani au ndo maigizo ya wanaume.

Nikatengeneza akaunti feki instagram nikam'follow. Nilichagua mrembo mmoja mwenye matako matako nikajaza picha zake, mume wangu si namjua ananisifiaga sana shape yangu. Mume wangu fell for the trick alini follow back na akani'dm.

Utata ukaanza hapo, niliumia ila ndo maji nishayavulia nguo sharti kuyaoga.

Tulichart kule for weeks mpaka alipokuja kuniomba namba ya simu. Sikuwa na namba nyengine tofauti na anayoijua yeye, so sikumpa mpaka niliposajili namba nyengine kwa majina mengine.

Tukaanza chart whatsapp.

Akanitongoza tena akaniambia hana mke, mke wake alishakufa kwa ajali. Jamani nyie wanaume ni mbwa

Cha ajabu sasa, nikimuomba hela kama mchepuko kule HANIPI ananipiga viswahili vingi. Ila nyumbani ana provide kama kawaida na pesa ananipa.

Nishindwa kumuelewa, kule kwenye identity fake anafosi sana tukutane, pesa hataki kutoa. Huku kwenye uhalisia wangu ananipa pesa kama kawaida na hajapunguza hata chembe ya upendo wake kwangu.

Je, amenistukia niachane na huo mchezo? Au niendelee nitakachokitafuta nitakipata?
Ngoja naye aje akutest kwa namba MPYA aweke picha za handsome boy halafu aliyeuziwa cheni bandia naye atoe pesa bandia

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Unajua wanawake mnakuaga na upuuzi sana! Ushasema mmeo anakupenda, anakujari, huduma zote muhimu unapewa! Sasa unataka Nini kingine weweee!!

Mbona mnapenda chimba chimba sana nyieee????? Unatafuta Nini kwenye chimba chimba huko ikiwa mume akiludi home anakuheshimu na kukujari??

Mie nishamwambia wife "kama nakuheshimu, nakujari, sijawahi kuongea na simu na mchepuko ww ukiwepo Wala kuchart na mchepuko ukiwepo( Kuna wanaume wengine wanaweza kufanya hivyo)

Basi acha kunichimba chimba mambo ya falagha huko!! Ukiona mpaka nafanya hayo kwa kujificha inamaanisha nakuheshimu sana.

Sasa ukishupaza shingo ukajifanya papalazi utayoyakuta Sina majibu yake.
Sawa lakini magonjwa na mikosi huwa havichagui anayefanya hadharani au anayefanya mafichoni kijana
 
Huo ni upumbavu utakuja kudondoka Kwa pressure ufe ,, unafuatilia mwanaume Kwa mtindo huo??????

Kwataarifa yako hakuna mwanaume asiye na mwanamke nje ya mke yaani hata father ni hivyo .

Ikiwa wachungaji, mashehe na mapaderee wana sokomeza mashine Kwa kuvunja amri ya sita itakuwa mume wako??
 
Anzia hiyo sentensi ya mwisho kabisa.

Jibu limelala hapo linakusubiri na picha zako zenye matako matako.

NB: Kazana hivyohivyo. Halafu unaitwa Mtuache? Nawaacha.
Yaani nyinyi wanawake ni wa ajabu sana umekiri mme wako hajapunguza mahaba kwako wala hajaacha kukuhudumia sasa mpaka ubuni trap ya namna hiyo shida nini?Anyway,nimalizie kwa kukuambia tu kwamba UNACHOKITAFUTA UTAKIPATA MATOKEO YENYE MACHUNGU NDANI YAKE.
 
Maria,unamzungumzia mwanamke yupi?JF imeweka neno "mkuu" kwa maana nzuri.Acha kuita mtu mwanamke au mwanaume.Ndiyo maana ya fake id!
 
Yaani wanawake hufanya kila liwezekanalo ili tu walie.

Kukiwa na utulivu mwanamke atataka tu alie.

Mtu anampenda, anamjali, anamhudumia na kila kitu lakini mwananmke hajaridhika anataka tu alie.

Mwanamke inatakiwa since day one umemuoa, akujue kwama wewe ni mtu wa matukio tu ili akili imkae sawa mapema.

Mwanaume umekaa kindezi ndezi hivi haya ndio matokeo yake.
Huwa n nna kawaida ya kununua ndizi kwa mdada 1 hivi, sa kuna siku siku nilienda jogging ila nikarudi na ndizi (baada ya kukopa).... Siku nyingine niko na bnt angu mdogo ambaye huwa anapenda kumwita yule muuzaji aunt binti akapewa ndizi 2,,, kurudi home wife anaanza kuongea ongea negative
Kuna siku akamwambia mtoto angu mkubwa angalia msije mkawa na ma mdogo muuza ndizi, huyo na aunt ambaye kila siku anawapa ndizi n nani, nikamweleza kidogo, bado haamini, wanawake ukiwa mwaminifu n shida
 
MTu yoyote mjinga hafai kupewa Uhuru.
MTu mjinga wewe mpe Uhuru wake PAMOJA na kamba nyingi Sana
Atazichezea hizo kamba Kwa kila mchezo autakao mwishowe atajinyonga Kwa kama hizi hizo baada ya michezo kumzidi.
 
Na siku ukijifanya wa kiume atakutongoza hivyo,

kuhusu hela tulia tu mwimbie mashairi na tungo za hamonize atatoa tu.

Hawa viumbe wameshindikana
Matatizo ya wanawake, kudanga hamuachi hata mkiolewa. Sasa unshauri mke wa mtu kudanga. Sasa wewe utakuwa mdangaji uliyekubuhu. Mwandikie hayo mashairi huyo mwenzio.
 
Za asubuhi wana jamvi. Ngoja niende kwenye lengo la uzi.

I have been with this man for 8 years, tumefunga ndoa mwaka juzi kiufupi ndoa yetu ina miaka mitatu mahusiano miaka nane.

To be honest, Mr ananipenda sana. Ananijali ananisapoti, nashukuru Mungu kwa hilo.

Sasa miezi miwili iliyopita nikafikiria jambo, nikataka nimjaribu mume wangu niupime upendo wake. Je, ananipenda kweli nje ndani au ndo maigizo ya wanaume.

Nikatengeneza akaunti feki instagram nikam'follow. Nilichagua mrembo mmoja mwenye matako matako nikajaza picha zake, mume wangu si namjua ananisifiaga sana shape yangu. Mume wangu fell for the trick alini follow back na akani'dm.

Utata ukaanza hapo, niliumia ila ndo maji nishayavulia nguo sharti kuyaoga.

Tulichart kule for weeks mpaka alipokuja kuniomba namba ya simu. Sikuwa na namba nyengine tofauti na anayoijua yeye, so sikumpa mpaka niliposajili namba nyengine kwa majina mengine.

Tukaanza chart whatsapp.

Akanitongoza tena akaniambia hana mke, mke wake alishakufa kwa ajali. Jamani nyie wanaume ni mbwa

Cha ajabu sasa, nikimuomba hela kama mchepuko kule HANIPI ananipiga viswahili vingi. Ila nyumbani ana provide kama kawaida na pesa ananipa.

Nishindwa kumuelewa, kule kwenye identity fake anafosi sana tukutane, pesa hataki kutoa. Huku kwenye uhalisia wangu ananipa pesa kama kawaida na hajapunguza hata chembe ya upendo wake kwangu.

Je, amenistukia niachane na huo mchezo? Au niendelee nitakachokitafuta nitakipata?
Elewa tu kuwa hakuna mwanaume anatosheka na mwanamke mmoja.
 
Ww ndio ulichokoza nyuki kula chuma hicho
 
Kama msemaji wa wanaume napenda kukuambia kwamba hiyo ndoa yako muda siyo mrefu utaisambaratisha vipande vipande na utajutia sana. shauri yako
 
Back
Top Bottom