Jamani, niko chumbani navaa, mara naona jitu hilo lisha ingia bila hodi wala nini, eti limekuja kuangalia match ya Simba na Yanga.
Nimemuuliza kwake si kuna tv, kwanini usiangalie huko? Kajibu eti Star Tv haionekani vyema ndo maana kaja kuangalia kwenye Super Sport.
Jamani, nifanyeje, nimuite mkewe naye aje kuangalia mpira? Au nimtimue Au nimwachie nyumba?
Naomba ushauri kabla sijapiga yowe la mwizi
chumba kimoja afu unalipia dstv loh
'Jirani jirani yangu ee, nimekusea nini
nikueleweje jirani ee, nikueleweje mwenzangu ee
Mimi na wewe ni kitu kimoja haina maana haina maana kunyimana
hata nikikuona bila nguo haina maana haina maana yoyoyo haina maana kunyimana.
Mmmh mgeni kuingia moja kwa moja chumbani inaleta picha ya haraka kwamba ni chumba kimoja na dish supersport juu yake. Samahani mi napita tu kuna mtu namtafuta hapa JF senkyuu
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Yamekuwa hayo?
Jamani, niko chumbani navaa, mara naona jitu hilo lisha ingia bila hodi wala nini, eti limekuja kuangalia match ya Simba na Yanga.
Nimemuuliza kwake si kuna tv, kwanini usiangalie huko? Kajibu eti Star Tv haionekani vyema ndo maana kaja kuangalia kwenye Super Sport.
Jamani, nifanyeje, nimuite mkewe naye aje kuangalia mpira? Au nimtimue Au nimwachie nyumba?
Naomba ushauri kabla sijapiga yowe la mwizi
ha ha ha, Nazjaz at work.
Una chumba kimoja kama mie kumbe?
tukuyu not for sale!!!!!!
Si ununue nyengine, hivyo hata chupi urudierudie?Akiiba chupi zangu?