Shindwa na shipa likushuke mtoto wa kiume!
We chako varanda
Sijafunga mimi alifunga fundi wa DSTV
Jamani, niko chumbani navaa, mara naona jitu hilo lisha ingia bila hodi wala nini, eti limekuja kuangalia match ya Simba na Yanga.
Nimemuuliza kwake si kuna tv, kwanini usiangalie huko?
Kajibu eti Star Tv haionekani vyema ndo maana kaja kuangalia kwenye Super Sport.
Jamani, nifanyeje, nimuite mkewe naye aje kuangalia mpira? Au nimtimue ? Au nimwachie nyumba? Naomba ushauri kabla sijapoga yowe la mwizi
Mvumilie, hizo ndiyo karaha za kuishi Uswahilini!!!!!
Nime tune Dtv nimsikie Dr Ricky. I hate football but napenda illustration ya Dr Ricky
Sijafunga mimi alifunga fundi wa DSTV