Mume wa demu wangu wa zamani

huna haja ya kumpotezea kwani inaonekana tayari anazo
data zako. ukimpotezea fb atajaribu kwingine. hivyo mkubali
ila isijihusishe nae sana kwenye hiyo fb. kwa vile huna hila na wife
wake hakuna tatizo.

ukimpotezea atashtuka kwamba labda umemshtukia na ndio atazidi
kukuwinda na pia kumkosesha raha binti wa watu.

Wewe na huyo anayekushauri wote punguwani. Hiyo ishu ni ya kutuletea watu wenye hekima zetu hapa kakae na wazazi wako wakushauri upuuzi wako huo.
 
Wewe na huyo anayekushauri wote punguwani. Hiyo ishu ni ya kutuletea watu wenye hekima zetu hapa kakae na wazazi wako wakushauri upuuzi wako huo.

Kwani hata wewe ungekaa kimya ungepoteza nini?
 
Imenipa maswali mengi. Huyu mume wake kanijulia wapi mimi, au huwa wananizungumzia? Na kwa nini ananitaka urafiki? Wakuu hii imekaaje, hakuna mtego hapa?

Haya maswali yote si ungemuuliza huyo aliyekuadd, hapa utapata ushauri wa kila aina lakini mwisho wa siku mwenye majibu yote ya maswali yako ni huyo jamaa aliyekuadd na mkewe.
 
Kuna demu niliwahi kuwa naye halafu tukapotezana 5 years ago, sina hata contacts zake. Leo nimefungua facebook nikakutana na message ya mwanaume nisiyemfahamu ananiomba urafiki wa facebook. Kwa kuwa simfahamu, nikasita, nikaamua ngoja niangalie kwanza profile yake, nikaenda pale kwenye photos nikakuta album yenye picha kama za harusi nikaifungua. Nikakuta kweli ni picha za harusi, na zina maelezo ya tarehe na mahali ilikofungwa ndoa na ukumbi ilikofanyika harusi, picha 37 jumla. Na bibi harusi ni yule aliyekuwa demu wangu.

Imenipa maswali mengi. Huyu mume wake kanijulia wapi mimi, au huwa wananizungumzia? Na kwa nini ananitaka urafiki? Wakuu hii imekaaje, hakuna mtego hapa?
wewe ulikuwa na mpango gani baada ya kuikuta hiyo invite?
 
Siyo lazima ukubali ombi lake na kwa vile umeshagundua kuwa mke wake ni rafiki wako wa zamani,achana naye asije akaleta roho ya uzinzi kati yako na mke wake,maana nijuavyo hamkawii kusema tukumbushane!

Suala la kukumbushiana hilo haliwezi kutokea kamwe, huyu tulipotezana siku nyingi hadi contacts zake sikuwa nazo tena, sikujua aliko wala mambo yake sikuyajua, sikujua aliendelea vipi, yaani baada ya hapo sikujua chochote tena about her. Ni jana tu hiyo friend request ya mtu nisiyemjua ndiyo ilinipa updates zake. Kilichonishangaza ni huyo mumewe ambaye hatufahamiani hata kidogo ndiye aliyetuma friend request kwangu! Yaani nawashukuru kwa ushauri wakuu, baada ya kusoma post 4 tu za hii thread nimeenda nikabonyeza kile kitufe cha kupotezea ngaaaa! Atulie na mkewe asintake maneno bure!
 
Achana naye,wewe endelea na kazi zako,kujihusisha naye ni kuhatarisha maisha yako!
 
Mshkaji ndo wewe nini?

Ni mimi na nina hasira sana, wife haachi kukutaja na ananionyesha picture zenu.. ndoa yetu bado changa, kama nikigundua bado uko nae...:A S 13:

Najinyonga naacha ujumbe......:llama:
 
Wewe na huyo anayekushauri wote punguwani. Hiyo ishu ni ya kutuletea watu wenye hekima zetu hapa kakae na wazazi wako wakushauri upuuzi wako huo.
duh jamaa mbona una hasira ua ndio wewe mwenye mke? maana dunia kijiji siku hizi
 
Huenda bibie anakutaja wakati wa majamboz
kuna demu niliwahi kuwa naye halafu tukapotezana 5 years ago, sina hata contacts zake. Leo nimefungua facebook nikakutana na message ya mwanaume nisiyemfahamu ananiomba urafiki wa facebook. Kwa kuwa simfahamu, nikasita, nikaamua ngoja niangalie kwanza profile yake, nikaenda pale kwenye photos nikakuta album yenye picha kama za harusi nikaifungua. Nikakuta kweli ni picha za harusi, na zina maelezo ya tarehe na mahali ilikofungwa ndoa na ukumbi ilikofanyika harusi, picha 37 jumla. Na bibi harusi ni yule aliyekuwa demu wangu.

Imenipa maswali mengi. Huyu mume wake kanijulia wapi mimi, au huwa wananizungumzia? Na kwa nini ananitaka urafiki? Wakuu hii imekaaje, hakuna mtego hapa?
 
Suala la kukumbushiana hilo haliwezi kutokea kamwe, huyu tulipotezana siku nyingi hadi contacts zake sikuwa nazo tena, sikujua aliko wala mambo yake sikuyajua, sikujua aliendelea vipi, yaani baada ya hapo sikujua chochote tena about her. Ni jana tu hiyo friend request ya mtu nisiyemjua ndiyo ilinipa updates zake. Kilichonishangaza ni huyo mumewe ambaye hatufahamiani hata kidogo ndiye aliyetuma friend request kwangu! Yaani nawashukuru kwa ushauri wakuu, baada ya kusoma post 4 tu za hii thread nimeenda nikabonyeza kile kitufe cha kupotezea ngaaaa! Atulie na mkewe asintake maneno bure!

Umekosea kumpotezea kwa sababu hujui anachokitafuta kutoka kwako.Inawezekana isiwe issue ya mkewe.Ilikuwa unamu add kisha unamsikilizia.Usiwe muoga sana mazee!
 
Mkuu hapigani mtu hapa.

Kwanza jamaa mwenyewe ndo yuko anajitafutia ugonjwa wa moyo. Hata hivyo sina hakika FP anajua mtazamo wa wanaume kuhusu EX-BF wa mke au GF wake. Kwa wengi ni mtu ambaye ukisikia jina lake mwili unaanza kukuwasha kama enzi zile mtu kameza Chloroquine. Ma Ex-BF wa wake au GF wanawanyima baadhi ya watu usingizi.

Bora tuliokwishakubaliana na hali... Kauzoefu kansaida sana Bro!

Sikulijua hili mkuu DC. mi nilidhani kama sisi wamama, yaliyopita si ndwele. tena kama mimi napenda sana husband akinisimulia kuhusu x wake (oooops, husbanda isiwe akawa anachungulia huku akanigundua). huwa nafurahiaga end of the story............ maana lazima huwa anamalizia hao woooooooooote hawakunifaa ndo maana nikakuoa wewe.......................... so huwa najiona mshiiindiiiiiiiii!
 
Haya weeee...iga ufe. Never ever tell a man about your ex-BF. Labda umshushe sana kiasi kwamba yeye ajione ndo King. Ila ukimsifia ndo mchuzi wooote umeutia matope. Kama yuko kwenye mchezo anaweza kusinyaa ghafla kama vile kapewa sumu.

Kulikuwa na dada mmoja tunapendana sana na ilikuwa bado kidooogo tu, nianze kuwasha moto. Baba mmoja (rafiki yangu), alikuwa mtu mzima wa makamo ya kutosha, anastua. Akaniambia kuwa wewe kijana hebu acha kabisa kwa sababu unamfahamu Ex-BF wake na kwa hiyo utajuta sana huko mbele ya safari. Na kwa vile yule dada naye akuwa bado hajaamua, yuko kwenye hali ya anataka. sitaki...nikasepa mwangu. Hii kitu kuna watu inawasumbua sana. Hata mume wa Ex-GF alikuwa akiniona anasinyaa mpaka namwonea huruma. Ndo mambo yalivyo ndugu yangu!!
 
Haya weeee...iga ufe. Never ever tell a man about your ex-BF. Labda umshushe sana kiasi kwamba yeye ajione ndo King. Ila ukimsifia ndo mchuzi wooote umeutia matope. Kama yuko kwenye mchezo anaweza kusinyaa ghafla kama vile kapewa sumu.

kama TOM wa kwenye Tom and Jerry? ha haaaaaaaaaaa
kwa kweli huwa sina story za kumhadithia kuhusu x wangu................
 
kama TOM wa kwenye Tom and Jerry? ha haaaaaaaaaaa
kwa kweli huwa sina story za kumhadithia kuhusu x wangu................

Kama unazo kufa nazo tu au utahadithia siku moja ukibahatika kuwa kikongwe kama yule bibi wa Titanic..
 
Back
Top Bottom