Mume mwema na bora: Sifa na wajibu wake...

LOL, u don't have to find all those in one man, so they say. Hahaha
Seriously, those are just basics of and 'decent' man, flexibility inakuwepo pia.
Hutompata mume Kama huyo labda ashushwe toka mbinguni ukweli ni kwamba wapo wanaokaribia lakini sio waliokamilika Kama unavyotaka.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Mie kwa mtazamo wangu mume mwema ana sifa zifuatazo kwa uduuuchu,japo zipo sifa nyingine nyingi:-

1. Ametulia si macho juu juu kama nzi kila akionacho hata kichafu chaliwa.
2. Anajiheshimu,anamuheshimu mkewe, ndugu wa pande zote, watu wengine pamoja na majirani pia.

3. Mwenye huruma na mapenzi ya kweli kwa mke na familia kwa ujumla.
4. Mtunzaji wa familia na si bahili au mfujaji wa mali.
5. Mcha mungu, au mwenye utu.
6. Mchapa kazi,asiye kata tamaa, si mvivu na goi goi
7. Msaidizi, sio mke na jembe na kuni yeye kashika bakora anapunga mkono, shughuli zote za uzalishaji mali na utunzaji familia kamuachia mke.

8.Mwenye kupenda kujadiliana, sio amri ikitoka imetoka hata kama pumba zenye madhara mradi yeye kasema basi naibaki kuwa hivyo.

9. Mwenye kutimiza wajibu wake kwenye masuala ya unyumba, sio mume jina, "chakula" anakula barabarai mkewe anabaki na "njaa"…ha ha ha lool!!

10. Mwenye kuona wivu kwa mkewe sio kila mtu basi ruhsa kula "chakula" nyumbani kwake ilimradi yeye kaoa basi kaolea jamaa na marafiki.

Na nyingi nyinginezo ndio zinatengeneza sifa za mume mwema, ametoka wapi kijijini au mjini hiyo sio ishu sana. wewe je wasemaje.

NINA HOFU KAMA HUYO MTU ANAEXIST,mara nyingi huwa wanawake tunaday dream kuhusu waume zetu wawe hivo 100%tunasahahu kuwa mwanadamu kaumbwa hakujiumba!so kasoro zipo tena sana tu kikbwa ni jinsi ya kuweza kuchanganya za kwako na zake then u make ur cudo boooooooonge la marriage!
 
Kwa kweli Mkuu telitaibi,
Nice guys tupo wengi sana Na tabia hizo early when men wanaanza dating huwa tunaambiana sana kwamba that's how to treat a woman(Hii nakumegea live toka kwenye kijiwe)

Ila over the years akipata experience na nyinyi, mwanaume anaona kwamba nyie ni pasua kichwa bila mtu kuleta ukauzu kidogo hamuendi wala hamfiki kokote (haki ya mama tena!)

kwa ufupi all nice guys ni 'waume wema'
now why do nice guys finish last?
Yeah man, You treat them well and they turn you into their bff (ukiona urafiki wa ubff kati ya girl na man basi ujue hapo man kaliwa)

Yes mkuu, if u appear to be a nice guy, they treat u like a best friend while they go around to rude boys to have their hearts broken and come back to u again complaining that all men are so mean,,,,

As if she forgets the fact that you are a man too!

Wapo sana tu.labda nyie ndio siyo.nimependa picha

Thank you kwa kujua kwamba tupo!
 
Last edited by a moderator:
Wangekuwepo wenye sifa zote hizo mbona ingekua raha sana?? Hawa wa siku hizi hakuna kitu!
Wacha kufananisha mbingu na ardhi, kama hutazami juu huwezi kuona nyota utabakia hivyo hivyo na mawazo ya kichini chini yasio ona star zile zinazo ng'araa kwenye mbingu.

Kwa kifupi wanaume wote hatuko sawa.


@thread, nice thread :violin:
 
The same goes for the perfect woman.
Halafu hiyo number 10 siitaki mimi!!!!!

Hapo kwenye red, mhhh!!
Labda kama sijakuelewa vizuri...
Hebu ipitie tena hiyo namba 10 inavyosema ...

"10. Mwenye kuona wivu kwa mkewe sio kila mtu basi ruhsa kula "chakula" nyumbani kwake ilimradi yeye kaoa basi kaolea jamaa na marafiki".

Maana hiyo chakula mwandishi kaiwekea "..." kama ilivyo kwenye namba 9 !!!
 
NINA HOFU KAMA HUYO MTU ANAEXIST,mara nyingi huwa wanawake tunaday dream kuhusu waume zetu wawe hivo 100%tunasahahu kuwa mwanadamu kaumbwa hakujiumba!so kasoro zipo tena sana tu kikbwa ni jinsi ya kuweza kuchanganya za kwako na zake then u make ur cudo boooooooonge la marriage!


hahaha nimekusoma Snowhite
 
Hapo kwenye red, mhhh!!
Labda kama sijakuelewa vizuri...
Hebu ipitie tena hiyo namba 10 inavyosema ...

"10. Mwenye kuona wivu kwa mkewe sio kila mtu basi ruhsa kula "chakula" nyumbani kwake ilimradi yeye kaoa basi kaolea
jamaa na marafiki".

Maana hiyo chakula mwandishi kaiwekea "..." kama ilivyo kwenye namba 9 !!!

hahaha
 
Maisha ya ndoa sio anasa!
Ni majukumu tena mazito, ni kama ajira sometimes.
Cha muhimu ni kujifunza kukabiliana na challenges za mabadiliko ya mwenza wako
Hakuna binadamu asiyebadilika
I agree with you 100% my friend.... binadamu tunabadilika sana. ndoa itadumu kama mume au mke atakubali mabadiliko ya mwenza wake.... ni ngumu sana ila inaitaji uvumilivu na busara ya hali ya juu... mfano mimi na mke wangu tulianza urafiki toka tunasoma..... baada ya kupata kazi kwa kweli kulikua na mabadiliko makubwa sana, saa nyingine unaweza kusema ule upendo haupo tena kumbe sio hivyo... Pia sio mbaya kukumbushana kwa waangalifu kipindi hicho cha mabadiliko maana wengi hupotea huko...utakutana na marafiki wapya, kazi mpya hata saa nyingine unaweza kuvutiwa na sura ngeni utakazozikuta huko.
Yote hayo yatafanikiwa kama mtakua mkisali kila asubui pamoja kumuomba Mungu awalinde.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom