Mume mwema na bora: Sifa na wajibu wake...

Mama Joe umetisha. em endelea kuleta nyuzi kali kama hizi hapa./
kiukweli hizi ndo nyuzi constructive na tunazozihitaji hapa.
 
Mama joe thats very true.. but ni mara chache sana kukuta sifa zote hizo kwa mtu mmoja... labda itawasaidia wanaume nao waweze kujiadjust accordingly.. maana mara nyingi wanawake wanapewa kitchen party na kuelekezwa mambo ya msingi wanapokwenda kwa mume.. but wanaume sidhani kama wana pata maelekezo mazuri kama haya b4.. na ndoa ikiharibika wa kwanza kulaumiwa ni mwanamke siku zote.. bila kujali sababu nyingine yoyote .. be blessed mama j.
 
Well said mamajoe hapo kwenye uzinzi ndo tatizo la wanaume wengi Mungu awasaidie!
 
Last edited by a moderator:
Thanks Mama Joe, I promise to be a good husband to my wife, and a good dady to my kids! Umeongea mambo mengi ya msingi sana.
 
Maisha ya ndoa sio anasa!
Ni majukumu tena mazito, ni kama ajira sometimes.
Cha muhimu ni kujifunza kukabiliana na challenges za mabadiliko ya mwenza wako
Hakuna binadamu asiyebadilika

Umenikuna sana CPU...mtu asiyebadilika ni sawa ma mfu......I mean positive changes....
 
Back
Top Bottom