Kambi ya Fisi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,521
- 22,015
Naanza kwa kukazia "Ngono ni wajibu wa kutimizwa kwenye Ndoa..."
Ngono katika ndoa sio fursa. Mpenzi wako ana HAKI kwa mwili wako - kisheria na kibiblia, hivyo ni makosa kunyimana.
Tambua kuwa ndoa inaweza kuvunjika kwa misingi ya ukosefu wa ngono pekee! Ngono katika ndoa ni wajibu wa kutimiza.
1 Wakorintho 7:3-4 - Mume na atimize wajibu wake wa ndoa kwa mkewe, na vivyo hivyo mke na atimize wajibu wake wa ndoa kwa mumewe.
Mke hana mamlaka juu ya mwili wake bali humkabidhi mumewe. Vivyo hivyo, mume hana mamlaka juu ya mwili wake mwenyewe, bali anaukabidhi kwa mkewe.
Wakati pekee ambao wanandoa wanaweza kujiepusha na kujamiiana ni kwa ridhaa ya PAMOJA kwa muda maalum (1 Wakor 7:5).
Ikiwa hutaki ngono - hiyo ni haki yako - kaa mbali na ndoa!
Huwezi kuchagua ndoa na kuchagua kutofanya ngono. Ndoa ni chaguo la kufanya mapenzi na mwenzi mmoja wa maisha. Katika ndoa, hao wawili wanakuwa mwili mmoja (Mt 19:5). Hakuna Mwili, Hakuna Ndoa. Ndoa ni agano la ngono. Ni agano la NAKUFANYA - na wewe UNAFANYWA
NI MWENDO WA KUFANYANA TU!
Utabarikiwa kwa kutomnyima mpenzi wako.