The answer is NO na anayebisha awe wa kwanza ku OPPOSE ninachokisema hapa
Mother Teresa did that....:typing:
The answer is NO na anayebisha awe wa kwanza ku OPPOSE ninachokisema hapa
Ingekuwa mimi?
Skiza Wise... Nlichomuolea wifiyo ni kupata huduma ya uhakika na ya halali ya kikojoleo jinsia ya kike. Niko tayari niishi kimasikini lakini hicho kidude kisiwe mbali zaidi ya sentimita 10 toka nilipo nyakati za usiku. Sasa kwasababu alikubali mbele ya kiapo kuishi nami katika shida na raha, na kwakuwa mimi ndio kichwa cha nyumba, na kwakuwa mimi kimamlaka ndio napaswa kuhangaikia familia yangu: Safari ya ughaibuni itakayozidi miaka miwili isingekuwepo. Akikomaa, tunavunja mkataba wa vikojoleo vyetu kusalimiana!
nimetukana kaka?...
kazi kwelikweli, kama jamaa ana kipato cha kutosha huko bongo basi amrudishe mkewe halafu awe anamlipa allowance za kukaa nyumbani na kucheza na watoto (kama wanao)
Mother Teresa did that....:typing:
Where is the proof?
The answer is NO na anayebisha awe wa kwanza ku OPPOSE ninachokisema hapa
Mother Teresa did that....:typing:
The proof....? Am a st. as well...:biggrin1:
Ngabu, Mulize St roya sista gabriella huwa anafanyajeWhere is the proof? Are you sure she wasn't doing herself at night?
The proof....? Am a st. as well...:biggrin1:
Uko sawa kabisa, lkn vp kama kwa mwaka angekuwa anakuja mara moja? na akiwepo muda wote lile chama hupaswi kujiunga basi, otherwise thank God unaendelea kukaa mbali nacho
mie bwana mwanaume hanifanyi nikaacha kazi yangu, nimetokea huko mie, mr kulazimishwa na mama yake anishinikize niache kazi, maamuzi yangu yalikuwa kwamba kazi ctaacha sasa yeye ndio aamua afanyaje, dunia ya leo uache kazi ukae nyumbani kuomba mpaka hela ya pedi....haiwezekani...ali surrender mwenyewe akaona wife hamnazo, lakini nilikuwa tayari kwa lolote sio kuacha kazi yangu...khaa
[/QUOTE
Hapo umesema Nyamayao
Ni upuuzi mtu kuacha kazi kwa ajili ya spouse wake. Kwanza hakuna guarantee kwamba akirudi huyo jamaa hawezi kumwacha baadaye. Pili mnapokuwa wawili mnafanya kazi mnapunguza pia ukali wa bajeti nyumbani na hivyo hivyo kuwahakikishia watoto maendeleo. Na tatu mke pia ana mahitaji yake ikiwemo hata kuwasaidia baadhi ya ndugu zake kimasomo (mimi nimelipiwa ada na dada yangu wakati nasoma, shemeji angemwambia aache kazi sijui kama angeweza. Kitu kingine mwanamke pia na yeye ana ndoto zake wakati anasoma ana malengo labda, akirudi huko awe na nyumba nzuri, CV yake iwe nzuri na kadhalika. Sasa hapo ni jukumu la mumewe kumsaidia mwenzie pia. Ushauri kwa huyo dada ni kwamba lazima amwambie mumewe kwamba hakupoteza muda shule kuja kuwa mama wa nyumbani, yeye ni professional na hivyo mumewe amchukulie hivyo. Lakini kingine ni kuongeza uaminifu katika ndoa
Umenena vema.............Unajua msingi mkubwa wa ndoa uko kwenye biolojia sasa mkiishaanza kutokupatiana biolojia zenu unafikiri itakuwaje bora arudi tu kulinda ndoa kusudi jamaa asije akajiunga na chama chetu haraka si unajua chama chetu kinavyo attract watu, halafu ukizingatia wife wa jamaa ameondoka tokea mwezi wa tano na huu ni mwezi wa kumi mwanaume hajaona biolojia ya mwenzake ndio maana mwanaume ana wivu, tena huyu mwanaume mzuri sana ana wivu na mkewe na sio nyumba ndogo.
Wanawake tusipowaonyesha wivu .....mtaanza ohooo tunafanya INFIDELITY........Ukiwa na wivu unaonekana una GUBU....... nifanye nini mie jamani?
mie bwana mwanaume hanifanyi nikaacha kazi yangu, nimetokea huko mie, mr kulazimishwa na mama yake anishinikize niache kazi, maamuzi yangu yalikuwa kwamba kazi ctaacha sasa yeye ndio aamua afanyaje, dunia ya leo uache kazi ukae nyumbani kuomba mpaka hela ya pedi....haiwezekani...ali surrender mwenyewe akaona wife hamnazo, lakini nilikuwa tayari kwa lolote sio kuacha kazi yangu...khaa[/QUOTE
Hapo umesema Nyamayao
Ni upuuzi mtu kuacha kazi kwa ajili ya spouse wake. Kwanza hakuna guarantee kwamba akirudi huyo jamaa hawezi kumwacha baadaye. Pili mnapokuwa wawili mnafanya kazi mnapunguza pia ukali wa bajeti nyumbani na hivyo hivyo kuwahakikishia watoto maendeleo. Na tatu mke pia ana mahitaji yake ikiwemo hata kuwasaidia baadhi ya ndugu zake kimasomo (mimi nimelipiwa ada na dada yangu wakati nasoma, shemeji angemwambia aache kazi sijui kama angeweza. Kitu kingine mwanamke pia na yeye ana ndoto zake wakati anasoma ana malengo labda, akirudi huko awe na nyumba nzuri, CV yake iwe nzuri na kadhalika. Sasa hapo ni jukumu la mumewe kumsaidia mwenzie pia. Ushauri kwa huyo dada ni kwamba lazima amwambie mumewe kwamba hakupoteza muda shule kuja kuwa mama wa nyumbani, yeye ni professional na hivyo mumewe amchukulie hivyo. Lakini kingine ni kuongeza uaminifu katika ndoa
Kwa hii kuna mtu atakaye panga foleni kuanzia saa tatu asubuhi mpaka saa kumi jioni akisubiria kupiga kura?ubishi uliopo hapa ni juu nini nikutokujua maana ya Ndoa ni kuonyesha kuwa kazi ni bora kuliko ndoa/familia au tatizo liko wapi mbona yapo clear?Ebu achane kudanganyana hapa Mume nichwa cha familia period
Umenena vema.............
Kama mtu ana gubu atakuwa na gubu hata akipewa kama ratiba ya mtoto mchanga ya kula haisaidii!!
Nyie acheni hayawajakuta.
Umenena vema.............
Kama mtu ana gubu atakuwa na gubu hata akipewa kama ratiba ya mtoto mchanga ya kula haisaidii!!
Nyie acheni hayawajakuta.
hapa mnamaanisha kavu bila kutumia blanket chapa mtu au hata zile nyingine? Watu mnavisa nyie!